Serikali imenunua tena mashangingi 26 mapya kimya kimya!

Serikali imenunua tena mashangingi 26 mapya kimya kimya!

Badala ya kukemea haya madudu ya magamba ambayo yameshatendeka unakuja na usanii ambao huna ushahidi wowote ule wa kuthibitisha kile ulichoandika...ali mradi tu uwanyooshee kidole CHADEMA badala ya magamba!!!!

Mkuu usihangaike nae huyo! upeo wake hauna utofauti na muonekano wa avatar yake!!,
 
Na CDM nao wanataka kununua magar zaidi ya 100 brand new kuzunguka nchi nzima. Sample za magar yenyewe yote yana CC zaidi ya 3000, meaning hata consumption ya mafuta na general maintainence inakuwa juu.

Hawa wapinzani nilifikiri wangeonyesha njia kwa chama tawala, but nao wameenda mle mle! Hamna wa kumnyooshea kidole mwenzake.
pole sana Rejeo;
nadhani haupo sawa maada hii inazungumzia matumizi mabaya za serikali Kama unaushahidi juu ya Upinzani anzisha uzi wake tutaangalia logic yake kudadavua ipasavyo
 
Serikali imetumia Billioni 4.2 kununulia magari 26 aina ya Land Cruiser V8 kwa tsh Mil.150 kila moja yatakayotumiwa na tume ya mabadiliko ya katiba. Manunuzi haya yanafanyika hata kabla Kikao cha bunge ambalo Waziri mkuu alisoma hotuba ya makadirio ya wizara yake iliyozuia manunuzi ya magari yenye kiu ya mafuta (oil thirsty cars) hakijaisha.

habari hii inapatikana katika gazeti la The citizen au hapa

Govt buys 26 vehicles at Sh4.2 billion
 
Hili ni tatizo kumbwa sana kwa serikari yetu Rais wa chama cha madaktari alinukuliwa kwamba shangingi moja ni sawa na ct scan moja lakini kwa utafiti mdogo sana nimegundua ct scan moja mpya inaunzwa kwa bei ya us dollar 135,000 sawa na tshs 210,600,000/= kwa fedha za kitanzania kwa maana kwa wilaya mia moja(100) za mwanzo kwa hesabu ya haraka haraka ni sawa na gharama ya bilioni 21,060,000,000/= ni kwa nini tusinunue ct scan kwa ajili ya hospitali za wilaya mia moja bei, utofauti wake ni mdogo sana na shangingi moja je serikali yangu tunaelekea wapi na hawa jamaa wamepuuza magizo ya waziri mkuu hivyo kila kiongozi anafanya anavyotaka sasa tutafika kweli katiba ni muhimu kwetu lakini daah sasa sio kihivyo.


Manufacturer Specifications of CT SCAN - Brilliance 6-slice, Philips CT SCAN $ 135,000 =Tsh.210, 600,000/=


[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] MODEL
[/TD]
[TD="width: 336"] Brilliance 6-slice
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] X-RAY TUBE[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] X-RAY TUBE ANODE[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Heat storage, hu (X-ray tube anode)[/TD]
[TD="width: 336"] 8,0,000 (MRC technology)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Heat dissipation rate, hu/min (X-RAY TUBE)[/TD]
[TD="width: 336"] 1610000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Tube cooling (X-ray tube anode)[/TD]
[TD="width: 336"] Oil/air[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Tube focal spot, mm (X-ray tube anode)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.5 x 1 small, 1 x 1 large[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Optional tubes (X-ray tube anode)[/TD]
[TD="width: 336"] Conventional 5.2 MHU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] POWER NEEDED[/TD]
[TD="width: 336"] 200-500 VAC, 50/60 Hz, 100 kVA, 3-phase[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Type (CONFIGURATION)[/TD]
[TD="width: 336"] Multislice[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] # of slices (X-ray tube anode)[/TD]
[TD="width: 336"] 6[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] FLOOR SPACE NEEDED[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Size, m2 (FLOOR SPACE NEEDED)[/TD]
[TD="width: 336"] 25.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] DICOM 3.0 COMPATIBLE (POWER NEEDED, VAC)[/TD]
[TD="width: 336"] Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] HELICAL SCANNING (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Max scan time, sec (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Max scan volume, cm (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 162[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Spatial resolution, lp/cm (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Pitch (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.13 to 1.7, user selectable[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Reconstruction time per image, sec (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.17, 3-D cone beam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] TABLE FEATURES[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Range of movement[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Vertical, cm (Range of movement)[/TD]
[TD="width: 336"] 52-100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Longitudinal, cm (Range of movement)[/TD]
[TD="width: 336"] 190[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Scanning range,cm (Range of movement)[/TD]
[TD="width: 336"] 162[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Max. patient weight, (precision), kg (Range of movement)[/TD]
[TD="width: 336"] 204 (±0.25 mm)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] IMAGE PROCESSING (MAXIMUM DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Cpu (NETWORK/DATABASE)[/TD]
[TD="width: 336"] Intel, Windows OS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Scan fovs, cm (IMAGE PROCESSING)[/TD]
[TD="width: 336"] Up to 50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Image reconstruction matrixes (IMAGE PROCESSING)[/TD]
[TD="width: 336"] 256 x 256, 512 x 512; optional 768 x 768, 1024 x 1024[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Reconstruction time[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Per slice, sec (Reconstruction time)[/TD]
[TD="width: 336"] Up to 6 images/sec with 3-D cone beam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] For localization scan, sec (Reconstruction time)[/TD]
[TD="width: 336"] 5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Image storage[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Hd capacity, gb (IMAGE STORAGE)[/TD]
[TD="width: 336"] 292[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] No. online images (IMAGE STORAGE)[/TD]
[TD="width: 336"] 514,242 uncompressed (512 x 512)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Archive (IMAGE STORAGE)[/TD]
[TD="width: 336"] 9.1 GB rewritable EOD, 620 MB CD[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] SCORING OF CORONARY ARTERY CALCIFICATION (IMAGE STORAGE)[/TD]
[TD="width: 336"] Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] PERFORMANCE[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] High-contrast spatial resolution 0% mtf, lp/cm (PERFORMANCE)[/TD]
[TD="width: 336"] 24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Low-contrast resolution, mm at % at <=4 rads (PERFORMANCE)[/TD]
[TD="width: 336"] 4 at 0.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Sound, % at <= 2.5 rads (PERFORMANCE)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.27[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] DISPLAY[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] MONITOR[/TD]
[TD="width: 336"] 18" flat LCD 2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Matrixes, pixels (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] 1280 x 1024[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Range of ct numbers (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] -1,000 to +3,095[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Image enlarging scale (DISPLAY)[/TD]
[TD="width: 336"] Up to 10x; real time[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] GENERATOR[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Output, kw (X-RAY GENERATORS)[/TD]
[TD="width: 336"] 48; optional 60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Kvp range (GENERATOR)[/TD]
[TD="width: 336"] 90,120, 140[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Ma range (IMAGING SYSTEM)[/TD]
[TD="width: 336"] 20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] GANTRY[/TD]
[TD="width: 336"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Geometry (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] Rotate-rotate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] DETECTOR (SCATTERED LIGHT)[/TD]
[TD="width: 336"] 24 mm z-axis coverage, solid-state GOS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Elements/row (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 672[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] # detection channels (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 16,128 elements 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Rotation times, sec 360 (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.75,1,1.5, 2; optional 0.4, 0.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Partial (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.49; opt 0.28, 0.33[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Slice thickness, mm (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 0.6-12 variable[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] X-ray fan beam angle, ° (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 54.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Gantry angle deg (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] ±30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Gantry size, hxwxd,cm (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 205 x 229 x 98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Gantry weight, kg (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 2100[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Gantry opening, cm (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] 70[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] Scan localizer (GANTRY)[/TD]
[TD="width: 336"] Laser[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] OTHER ATTRIBUTES (Interference compensation)[/TD]
[TD="width: 336"] Spiral AutoStart, isotropic imaging, functional imaging (perfusion), calcium scoring, Dental CT, bone mineral analysis (Q-BMAP), CT endoscopy, lung nodule assessment, stenosis analysis, stent planning, upgradeable to 10 or 16slice.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] FDA CLEARANCE (Interference compensation)[/TD]
[TD="width: 336"] Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] CE MARK (MDD) (Interference compensation)[/TD]
[TD="width: 336"] Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 288"] MARKETING REGION (Interference compensation)[/TD]
[TD="width: 336"] Worldwide[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hii serikali dawa ni kuitoa madarakani 2015 maana hawana nia ya dhati ya kuiendeleza tz na watu wake kupitia kodi wananchi wanazotozwa!! Kusema mbali vitendo mbali,V8 moja unanua ct scan moja! Tz nzima tunayo moja wakti mashangingi tunayo zaidi ya 800!
 
Pinda ni dhaifu, don't put your money to Pinda. Pinda anafahamu kabisa kuna WARAKA wa serikali unaolekeza aina ya magari ambayo serikali inapaswa kununua kwa viongozi wake.

Kama Pinda asingekuwa dhaifu angepeleka hoja kwenye baraza la mawaziri, ambalo lingetengua uamuzi wa serikali wa kununua mashangingi na kutoa WARAKA MPYA ambao unaelekeza aina ya magari yanayotakiwa kununuliwa serikali kwa viongozi/ Taasisi zake mathalani SUZUKI ESCUDO.

Lakini Pinda anatoa tamko la kisiasa majukwaani, serikali inafanya kazi kwa kutumia nyaraka/documents za serikali sio maagizo ya majukwaani huko Katavi. PINDA NI DHAIFU full stop.
 
Siasa bana, tutapata tu viongozi wa kuwa Chiluba hawa woote wanaofuja pesa ya mlipa kodi mlala hoi!
 
Pinda ni dhaifu sana na pengine ni nidhamu ya woga kwa rais wake lakin pia ni kama vile naye hana lnia ya kuacha legacy yake.Mie nampenda sana Raila Odinga PM wa Kenya pamoja na manjonjo yote ya Kibaki kutaka kumsilince alisimama imara, alisimamisha hadi mawaziri- Ruto na kashifa ya wizi wa mahindi japo kelele nyingi zilipigwa.Pinda ni dhaifu sana na hasara kwa Taifa ili.
 
Mashangingi ndo magari yenye usalama kwa viongozi wetu hata hao viongozi wa chama chenu CDM ndo wanayotumia hv unaendaje kagera na escudo hata aje nani kutawala mashangingi V8 ndo watatumia acheni wivu wa kijinga
 
Kuna usemi wa kiswahili usemao sikio la kufa halisikii dawa. Usemi huu hulenga matendo (ya watu/mtu/kitu) ambayo hujirudia rudia huku yakiwa hayana faida kwa mtu husika pia kwa walengwa wake.

Hii ni CCM na serikali yake hapa Tanzania. Pamoja na serikali kujinadi mahala pengi ikiwemo bungeni kuwa itaachana na ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kama mashangingi a.k.a Kilimo Kwanza, inaonekana ununuzi wa magari hayo ni ugonjwa sugu na unaendelea kuitafuna CCM na serikali yake.

Inasemekana magari hayo yamenunuliwa tena kwa fujo safari hii kwa wateule wa hivi karibuni wakuu wa mikoa, wilaya na baadhi ya mawaziri. Kama kweli serikali ilikuwa na nia ya dhati ya kutoendelea na ununuzi wa magari hayo ya kifahari, basi ingeanza na wateule wa hivi karibuni kwa kuwanunulia RAV4 za bepari Pinda anayejificha kwenye kivuli cha mtoto wa mkulima.

Hii ni kuipa ujiko CHADEMA? Au mmetumwa kuiua CCM kwa makusudi? Au mnataka kuiua CCM ili Nyerere asahaulike?

Hiyo ndio serikali sikivu ya ccm, hakya mungu
 
Hata Mbowe kalichukuwa lake alilojidai kulirudisha, tena kalirudia kimya kimya.

Sasa Watu Kibao wasiokuwa na msaada Katika Taifa wanatumia hayohayo!! Sasa mwenye msaada kwanini asitumie!! Ila hata angepewa RAV 4 angetumia ila issue Hapa ni nani Kanunua?
 
Hata Mbowe kalichukuwa lake alilojidai kulirudisha, tena kalirudia kimya kimya.


Washauri wabaya wa JK ndiyo mawazo yao..... Kwani mbowe kuchukua gari lililopo na kununua mapya kuna uhusiano gani????

Au Mbowe ndiyo kawaambia mnunue hizo shangingi including ya KUB, naona hata ahadi zenu kuzitekeleza ni shida.

Embu soma kwanza signature hapo chini
 
Walioba anaonekana ni muadilifu kwa hili kama kweli ana mapenzi na nchi hii kwa nini ajalizungumzia hili? yeye angetoa tamko la kukataa haya magari tungemuona mtu wa maana na ambaye kweli atasimamia vizuri huu mchakato wa uundwaji wa hii katiba mpya
 
Washauri wabaya wa JK ndiyo mawazo yao..... Kwani mbowe kuchukua gari lililopo na kununua mapya kuna uhusiano gani????

Au Mbowe ndiyo kawaambia mnunue hizo shangingi including ya KUB, naona hata ahadi zenu kuzitekeleza ni shida.

Embu soma kwanza signature hapo chini

Mambo mengine hayana haja ya kuyatetea... Kama Mbowe angekuwa makini na anaumizwa kwa dhati na matumizi ya anasa asingekubali kulirudia gari hilo baada ya kulazika kulirudisha kwa shinikizo la viongozi wenzake.
 
Hakuna msemo wa kipumbavu na huu 'yeye hana matatizo ila wasaidizi wake ndio wanampotosha'. Hakuna kiongozi anaepotoshwa,wote wanaujua ukweli,tena zaidi yetu ila umatemate unawasumbua.
 
Madaktari na Walimu waliambiwa na hii Serikali dhalimu, "Serikali haina uwezo." wa kuongeza ujira na posho zenu wakati huo huo wamemwaga mabilioni ya pesa kununua magari ya kifahari.

Unaweza kuona jinsi gani Serikali yetu isivyo zingatia matumizi sahihi ya rasilimali ya Taifa...Ndiyo maana hata mtu mmoja mwenye mamlaka anaweza kujichukulia wanyama wetu katika mbuga za wanyama kama vile anaswaga ng'ombe kwenye zizi lake na kusafirisha nje ya nchi tena kwa ndege.Hapo tunabaki tunashangaa hata hao wahusika wa airport wapo kwa maslahi ya nani!!!!!!!!.
 
haya bwana na kilimo kwanza. Ila pinda nae asiwe mkurupukaji kama kova maana anatoa kauli ambazo hazitekelezeki sasa hayo ndo ma rav 4 ?!!!!!!!
 
alilirudisha akitegemea angepewa la bei nafuu kwa sababu ni haki yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani, lakini serikali ikamlia ngumu. Sasa unategemea angewatumikia wananchi kwa usafiri gani? Serikali hii ni ya ajabu kweli inalazimishia watu magari. Kwa nini wale wanaokataa magari ya bei ghali wasingepewa ya bei nafuu ili wakabunguza gharama kubwa wanayotumia kuiendesha serikali? Mbowe si wakulaumiwa;
 
Back
Top Bottom