JK nchi imemshinda na kwa kulitambua hilo amekuwa mjanja sana kapandikiza watu, kuwabeza wanaom-challenge kwamba ni wadini na wanamuandama kwasababu ya dini yake hivyo kuwafanya wanaomsifia Mkapa kwamba alijitahidi waonekane wanawabeza waslaaamKwa kweli wameshindwa kusimamia uchumi. Mkapa alipoondoka aliacha macro economy ikiwa stable, kazi ilikuwa ni kuhakikisha the tricle down of the effect. lakini sasa hivi hata macro economy imeshatetereka kwa kiasi kikubwa; angalia inflation, angalia thamani ya shilingi... it is time the go before things get worse
Mkulo amekosea nini?Ni wakati sasa Kikwete akamuondoa Mkulo kwenye Wizara ya fedha haraka iwezekanavyo
Huyo rafiki yako ukimuulza sasa hivi anasemajeMwaka jana Kikwete alipotangazwa kushinda uchaguzi, nilimpigia simu rafiki yangu mmoja aliyeonyesha wazi wazi kuishabikia CCM, nikamwambia atajuta in five years to come.
Ni wakati sasa Kikwete akamuondoa Mkulo kwenye Wizara ya fedha haraka iwezekanavyo
Ni wakati sasa Kikwete akamuondoa Mkulo kwenye Wizara ya fedha haraka iwezekanavyo
Mpita Njia , ni kumuondoa mkolo na mapolicy makers pale BOT, WAMESHINDWA kututoa mahala ambapo hata Balali na aliweza kutusgeza, BOT wamekua wakidanganya kwa takwimu za kuimarika kwa hali ya uchumi ambazo wanasiasa wamekua wakizitumia kutupumbaza.
Mpita Njia , ni kumuondoa mkolo na mapolicy makers pale BOT, WAMESHINDWA kututoa mahala ambapo hata Balali na aliweza kutusgeza, BOT wamekua wakidanganya kwa takwimu za kuimarika kwa hali ya uchumi ambazo wanasiasa wamekua wakizitumia kutupumbaza.
Togola Mgosi, kuzibinda zose, mnyangu umanye hali ihaaaa lakini hakuna mbuli maana shilingi haina thamani kabisa!dah! mkuu jana nimechukua laki 3 tu nimeshindwa kuziweka kwenye wallet, aibu hii, laki 3 jana mchana saizi nina buku 40 tu, chamaana kilichofanyika hamna.
The common factors appearing to contribute to societal collapse are economic, environmental, social and cultural, but they manifest combined effects like a whole system out of balance. In many cases a natural disaster (e.g. tsunami, earthquake, massive fire or climate change) may seem to be an immediate cause. However, other cases of civilizations in similar situations that were resilient and survived the same kind of insult show that such causes are not sufficient.
This is the reasoning method used by Joseph Tainter, and how he examined the evidence to eliminate the insufficient causes in his thesis that societies essentially exhausted their own designs, and were unable to adapt to natural diminishing returns for what they knew as their method of survival. It matches closely Toynbee's idea that "they find problems they can't solve".
The diversity of forms that societies evolve corresponds to diversity in their failures too. In other instances significant inequity may combine with lack of loyalty to a central power structure and result in an oppressed lower class rising up and taking power from a smaller wealthy elite.If there is a general "antidote" to collapse, it would seem to be social cohesion, economic growth and adaptability.
Tanzania is no exception to this......
umehonga wewe, hamna lolote!dah! mkuu jana nimechukua laki 3 tu nimeshindwa kuziweka kwenye wallet, aibu hii, laki 3 jana mchana saizi nina buku 40 tu, chamaana kilichofanyika hamna.
Prof Ndulu accused the media of fuelling the shilling crisis by its constant reports on the issue (1USD = 1,800 TZS) about 2 hours ago