Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi. Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa . Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.

Hapo pekundu... Kuaminika sio tatizo. Swali ni hili: Is is a justified true belief?
 
Wamefuta lini janaz usiku? Mimi nimenunua leo nimekatwa elfu 5200 !
 
What is service charge?
A type of fee charged to cover services related to the primary product or service being purchased. For example, a concert venue may charge a service fee in addition to the initial price of a ticket in order to cover the cost of security or for allowing electronic purchases. Another example would be a fee for using the
ATM of a competing bank.
Mimi nadhani Service charge ni muhimu kwa shirika hila la uma kwa sababu zifuatazo

  1. Gharama kubwa za uwekezaji kuanzia kuzalisha,kusafirisha na kusambaza umeme,Gharama hizi kubwa zinapelekea wawekezaji kuona kuwa kuwekeza kwenye umeme kunachelewa sana kulipa (Long payback period),Hivyo shirika hili la uma limejitahidi kufikisha umeme hata maeneo yasiyo na faida hivyo kulichangia service charge ni kulipa nguvu Zaidi.
  2. Mteja anapopata tatizo kama nguzo kuanguaka,nyaya kukatika,meter kuharibika mafundi wa TANESCO wamekuwa wakitoa huduma bure kabisa kitu ambacho ingekuwa private company ingeingizwa kwenye gharama za mteja ,Service charge imesaidia hili
  3. Service charge ni kama bima ambayo tunawekeza kwenye shirika la umeme nchini ili liweze kuhudumia wateja wote pale wanapopata hitilafu ya umeme.
  4. Sio wateja wote wanaolipa service charge bali na kwa wateja wa kundi la T,Wanaotumia umeme kuanzia unit 75 mpaka 7500 kwa mwezi,Waleo wanaotumia umeme chini ya unit 75 wanalipa kwa bei ya ruzuku naamini kabisa service charge inawasaidia watanzania wenzetu wa hali ya chini.
Kwa hiyo mkuu Koleba, sisi wengine tulio mjini, na tunaotumia unit chini ya 75 inakuwaaje watukate hiyo Service charge,au wanaunganisha makusudi tu..kukomoaaaanaaaa...
 
Majipu kama haya ambayo kwakweli yakitumbuliwa tunaona tija..ila kwa bahati mbaya mkulu hana uwezo wa kuyatumbua...usanii mwingi
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Ukweli wa taarifa hii please kwamaana ya ulikoitoa. isije kuwa umeitoa kwenye gazeti la ijumaawikienda.
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Sio Useme Wasiopenda Kulipa Service Charge, Ni Mzigo Kwa Makabwela!!! Wkt Maafisa Wa SERIKALI Wanaponda Raha Kwa Kutolipa Umeme Wa Service Charge!!
 
7000 ya service charge ilikuwa inatosha kunuua umeme wa wiki nzima.

Hizi ni habari njema.
Hio 7000 imetumbukizwa humo humo kwenye bill yako.
We cheki mwisho wa mwezi uone.
Hawa wote ni wasanii tu. Mtanzania atasota mpk serikali iache usanii. Kitu ambacho ni kigumu sana.

Ile mahakama ya mafisadi alio ahidi ndani ya Siku 100 toka apewe madaraka hata msingi umeanza kuchimbwa? Au amesema Itakuwa Wapi? Eneo lipi? Mji upi?

Usanii kushoto kulia.
 
Kwa hiyo wewe kazi yako kupeleka umbea???? Mwenye busara angeelekeza mtu vizuri. (Ukipita kusoma posti za wenzio utaona waliosahihisha )



Kama hujapata uhakika ni busara ungejamaza tuu, maana wengi tutapeleka huu umbeya kwa wengine ikawa shida huko mitaani kwetu kwa songombingo ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Hili nalo lilikuwa jipu kubwaaa. Ni wizi uliochificha. Kama ni kweli ni jambo jema. Bado cement na bati
haukuwa wizi uliojificha.. huu ulikuwa ni UNYANG'ANYI WA WAZIWAZI dhidi ya wananchi.
 
Asante kwa masahihisho.
Ingawa bado sioni kwa nini tukamuliwe fedha za ewura na rea....


Ewura wana yao
na REA wana yao
service charge nayo ni ingine...
haiwezi kufutwa
inaweza kupunguzwa tu



Ewura na rea hawategemei service charge kuishi.
Wao wana mgao wao wa 4 kwenye hela yako yaani Rea 3% na Ewura 1%.

Kwa tanesco heri usilipe kodi wala kuchangia umeme vijijini lakini ulipe service charge. Ikishalipa service charge hela inayobakia inakatwa 22% kama kodi, rea, na ewura, itakayobaki ndio utapewa umeme.

Ila wanaweza kua wameondoa service charge lakini watu wakalipa kupitia kununua umeme.
 
Naomba msaada nikitaka kuomba kubadilishwa kwenda zero tarriff
Andika barua ya kuomba kisha peleka kwa manager nazani ndani ya siku 60 utakuwa umejibiwa kwa vitendo
 
Back
Top Bottom