Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Na hii ni nini!?
Nimenunua jana tuu
 
Attachments

  • 1452880778371.jpg
    1452880778371.jpg
    29.5 KB · Views: 36
Mleta uzi unatuchanganya..Haya ni mabadiliko ya vijijini tu. sio mijini.
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Hii Habari NI ya kweli , juZi nimenunua Umeme sikuamini nlichokiona yaani service charge 0 zeroooo . Nkajua wamekosea. Source risit yangu ya tarehe 11 January ,2016
 
Bora.Nimenunua umeme wa 30,000 nimepata 45.5Units
 
Hiyo sio kweli hakuna Waraka unaotaka kuhamisha wateja tariff,
Labda uko njiani,tariff 0 ni mahususi Kwa watumiaji wadogo ambao matumizi Yao hayazidi unit 75!
Ila waraka wa kuondoa service chargé hata kama tarif bado zitabaki kawaida umefika?
 
Hii Habari NI ya kweli , juZi nimenunua Umeme sikuamini nlichokiona yaani service charge 0 zeroooo . Nkajua wamekosea. Source risit yangu ya tarehe 11 January ,2016
Weka picha
 
service charge ni kwa ajili ya huduma inayotolewa na kampuni iliyotengeneza system ya LUKU
 
haipo hii kitu, Jana tu nimenunua umeme wa 20,000/-,wamenipatia units 11.60.
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwa wahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Wangeondoa vilevile na yale makato ya EWURA na REA.
Hizo ni taasisi za serekali zinazoendeshwa na kodi zetu, inakuwaje zihudumiwe na wateja wa TANESCO ambao hawafiki hata 50% ya watanzania?
 
Za asubuhi wadau..

Kiukweli hamna kitu kilikuwa kina nikera kama hiki kidudu kilikuwa kinaitwa service charge kwenye ununuaji wa umeme...

Niwapongeze tanesco kwa kufuta huyu mdudu... Leo nmetoa elfu 10, nlitegemea ntapata unit 9 baada ya kukatwa hiyo service charge kumbe imefutwa nmepata unit 28

Asante Magufuli...
 
Huku zenji kwa nchi ya Jecha service charge kama kawa !sijui jecha kinamshinda nini kuifuta hii!
 
Back
Top Bottom