Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kua habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Nilishawahi kuweka elfu 20,nikapewa unit moja,Tanesco naichukia sana.
 
Utakua poa sana! Tena sana mana ukikua ni wizi uliopitiliza....

Bado REA na EWURA nayo ni majizi mengine tena ni majipu yaliyokomaa.

Hebu angalia hapo nilijikusuru kununua umeme wa 10000/= nilichezea makato hadi kero hebu angalia UNIT nilizopota!!

Ni hatari sana hawa jamaa
 
Attachments

  • 1452792367987.jpg
    1452792367987.jpg
    34.2 KB · Views: 76
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kua habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Itakua imekaa poa sana maana hilo no jipu uchungu. Liliiva kitambo ila walishindwa kulitumbua. Sasa naanza kuona watu walivyo ndumila kuwili. Mhongo huyu huyu alisema kama hatuwezi kulipa bei mpya za umeme tutumie vibatari. Kisa kaja mzee wa upako wanaamua kushusha. Anyway poa tu lakini
 
Itakuwa kweli maana tar 31/12/2015 nilinunua umeme wa 55,000/- wakata VAT pekee bila service charge nikapatiwa units 152
 
sevice charge kilikua kijipu uchungu kwa mlaji wa huduma
 
Eti ukinunua umeme wa ela nyingi,unajilimbikizia service charge!
ipo siku petrol station nao watakuwanazo hizi.
 
Ila cha mcngi ni kukaribisha campany nyinhone za umeme ili tanesco waboreshe huduma c mnakumbuka usumbufu tuiopata kutoka kwa ttcl now a dayz wanajuta
 
Mmmmmh...

Sidhani...

Ewura na rea wataishije???
Mmmmmh...

Sidhani...

Ewura na rea wataishije???
Ewura na rea hawategemei service charge kuishi.
Wao wana mgao wao wa 4 kwenye hela yako yaani Rea 3% na Ewura 1%.

Kwa tanesco heri usilipe kodi wala kuchangia umeme vijijini lakini ulipe service charge. Ikishalipa service charge hela inayobakia inakatwa 22% kama kodi, rea, na ewura, itakayobaki ndio utapewa umeme.

Ila wanaweza kua wameondoa service charge lakini watu wakalipa kupitia kununua umeme.
 
D1 ni kwa wale tuu wanatoumia chini ya unit 75(B.T.U) kwa mwezi, na ikitokea kwa mwezi mmoja umetumia umeme zaidi ya kiasi hicho basi utatozwa S.Charge,ila mwezi utaofata ikiwa ni chini ya unit husika basi hautakatwa, kiasi cha shilingi 10,000/= utapata unit 77.1
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kua habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Uwe unasikiliza taarifa vizuri......hii D1 inawahusu watu wa vijijini tu na wala haiwahusu watu wa mjini kabisa. Kuanzia sasa wateja wanaounganishiwa umeme vijijini watasajiliwa kwenye LUKU kama D1 customers ila matumizi yao ya umeme yatafuatiliwa over six months na endapo itabainika kuwa matumizi yanazidi 75 units in average, basi mteja husika atapelekwa T1. D1 haina service charge while T1 ina service charge. In addition, D1 uniti moja ya umeme in Tshs 100(122 ukijumlisha VAT REA na EWURA), yaani ndiyo cheapest tariff.
 
Hata ununuzi wa nguzo ni jipu linalotakiwa kupasukiwa. Why tununue nguzo wakati ni malighafi yao kibiashara!
 
Dah, ndo maana juzi kati nimelipa buku 10 nikijua nitapata unit 8 instead nikapata 14! Nilijiuliza wamekosea? Km ni hivyo poa sanaaaa!
 
Back
Top Bottom