Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Serikali imefuta service charge za TANESCO (Kanusho)

Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.

Singa singa atakosa hela yake oohooo
 
Inawezekana hizo charge zimehamishiwa kwene unit cost, ujanja ni kwamba wakisha declare kuwa wamefuta angalia matumiz kama yatakuwa yako vile vile kwene units unazonunua.

Bora ziwekwe kwenye unit cost mkuu!

Unajua kwa mfano ukisafiri miezi sita nyumba umezima umeme, siku ukirudi unatakiwa kulipa service charge za hiyo miezi 6?
 
Utakua poa sana! Tena sana mana ukikua ni wizi uliopitiliza....

Bado REA na EWURA nayo ni majizi mengine tena ni majipu yaliyokomaa.

Hebu angalia hapo nilijikusuru kununua umeme wa 10000/= nilichezea makato hadi kero hebu angalia UNIT nilizopota!!

Ni hatari sana hawa jamaa
Duuu aise ni nomaaa...pole sana mkuuu...inauma lkn.
 
D1 ni kwa wale tuu wanatoumia chini ya unit 75(B.T.U) kwa mwezi, na ikitokea kwa mwezi mmoja umetumia umeme zaidi ya kiasi hicho basi utatozwa S.Charge,ila mwezi utaofata ikiwa ni chini ya unit husika basi hautakatwa, kiasi cha shilingi 10,000/= utapata unit 77.1
Nisaidie huend unauelewa hapa. .mimi nimefunga meter mwaka jana na nikitumia sana ni unit 50 . lakin service charges nakatwa . nifanyeje. ? wasinikate
 
Watatoa service charges halaf watapandisha bei ya Unit..hawa jamaa hawaaminiki kabisa mana I believe service charges ndio na mishahara yao inatoka hukohuko!
 
Ikiwa kweli nitafurahi sana,service charge ni jipu jingine sugu.
Kwanza imepanda mara dufu,huku units zimepungua!
 
Tanesco ni kijipu uchungu,..kinatumbuka pajani kinaota kiunoni,...hapo dawa ni kuweka ushindani na makampuni mengine,...kama nje,..competition inaleta uboreshaji wa service,uboreshaji unaleta ubora wa huduma,..bila hivyo serikalui itakuwa haijasaidia kitu
 
D1 ni kwa wale tuu wanatoumia chini ya unit 75(B.T.U) kwa mwezi, na ikitokea kwa mwezi mmoja umetumia umeme zaidi ya kiasi hicho basi utatozwa S.Charge,ila mwezi utaofata ikiwa ni chini ya unit husika basi hautakatwa, kiasi cha shilingi 10,000/= utapata unit 77.1
Naona itawezekana hii ni kwa baadhi ya watu. Mbona wengine matumizi yetu ni chini ya hizo unit lakini service charge tunakatwa!!
 
Service charge + Vat 18% + Ewura + Rea, haya ndiyo majipu makuu achana na Yale ya Vingunguti Machinjioni.
 
Habari hii inaukwel kwa asilimia fulan maana nimesikia tangazo hilo hapa Morogoro japo cjapata kulielewa vuzuri.

Walichosema ni kwamba, kama unatumia Unit70 kushuka chini kunanamna ya kukupunguzia gharama kisha wakasema kwa maelezo zaid fika ofisini kwetu.

Magufuli jembe jaman tuendelee kumuombea.
 
Mkuu kama hilo jipu limetumbuliwa mungu ni mkubwa nimepiga kelele sana nafikili jpm atakuwa anaingia humu jf kozi wadau wengi wamelalamika sana hilo jambo mkuu mkuu ukiweka ten unapata unit 8 asee awajamaa wanapiga npuga vby sana
 
Taarifa nilionayo ya kuaminika ni kwamba serikali imeagiza watu wote kubadilishiwa taarif za tanesco na kusajiliwa taarifu 0 au D1 ambayo haina service charge za kila mwezi.

Mameneja wote wa tanesco wa wilaya wameagizwawahakikishe hili linafanikiwa .

Inaweza kuwa habari njema kwa watu wasiopenda service charges.
Chanzo cha kuaminika? Labda hicho chanzo wakati kinakueleza hukusikia vizuri, hii ngoma inaweza amishiwa sehemu tu au kubadirishwa jina tu lakini kukifuta mmh!! Sema ninahisi zile CAPACITY CHARGES za akina SIMBION kwishney futiliwa huko
 
Back
Top Bottom