Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

IMG-20230524-WA0006.jpg
 
Hakikisha mshahara wako unaukuta uliopita kwenye account. Usiishi kwa madeni
Implication yake Fedha unayopewa ni Nyingi kuliko matumizi yako! Na la hatari kuliko YOTE A/C ya Mshahara at any time t,inaweza kufungwa na Mwajili Kwa Sababu mbalimbali! SIINGII KWENYE HUO MTEGO
 
oohoo tuliwachekaa kenyaaa...! hatari sana ni kujiandaa kisaikolojiaa tuuu....
 
Kwanza utaratibu wa kulipa tarehe 23 ukome ,pesa iingizwe tarehe 30
inalipwa tarehe hizo kwa kila mwezi ili kutoa nafasi kwa Wizara ya Fedha kuanza kuandaa malipo kwa ajili ya matumizi ya Serikali katika mwezi unaofatia.hope nitakuwa nimekujibu vizuri.
 
Back
Top Bottom