Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Kama wametoa mshahara,ni heri,ili maisha yaendelee vyema,kwa waajiriwa.
 
ujui ilo we kama acc yako haijawai kuwekwa milion mia toka ifunguliwe jaribu kuweka huone watakavyoifanya
Kipindi cha Magu kuna dogo mwanachuo ACC iliingia 30M akaitwa kwa manager wa bank kutoa maelezo
 
Back
Top Bottom