Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Watumishi wa serikali mna raha sana nawaonea wivu sana😃
 
Kuna Afisa wa Kitengo kaniambia Kuna mishahara inabadilika mwezi huu,madaraja haya pesa ilikuwepo kwenye bajeti ya 2022/2023

Mfano hapa Tanganyika kati ya majina ya ule mkeka,watu 20 mishahara inabadilika mwezi huu
Mama Samia aendelee mpaka atakapoamua kuacha Urais 😂😂
Mkuu ulikuwa sahihi....daraja ndio lilikuwa linachelewesha😂

Naona muamala unasoma tofauti!
 
Back
Top Bottom