Bado mazeeWw Nyumisa si ndo umesema umelipwa!!!
Bado mazeeWw Nyumisa si ndo umesema umelipwa!!!
Mama Samia aendelee mpaka atakapoamua kuacha Urais [emoji23][emoji23]
Mkuu ulikuwa sahihi....daraja ndio lilikuwa linachelewesha[emoji23]
Naona muamala unasoma tofauti!
Jaman wadau Kuna waliopanda madaraja ajira ya mwezi 24/8/2018 msaada tujuane au tusubir bajet ya mwakani**
Nimegundua waliolipwa mpaka sasa ni walimu tu. Wengine bado
Huenda ni kimakundi ndo maana huu uzi haujafa hadi sasa.Itakua wanalipa Kwa makundi mi mpaka sasa bila bila
SawaMshahara utolewe 3/6/2023
Hiyo hauna haja ya kusubiri, wewe ni mwakani.Jaman wadau Kuna waliopanda madaraja ajira ya mwezi 24/8/2018 msaada tujuane au tusubir bajet ya mwakani**
Mpk afya wameshapokea
😂😂Kaka umepanda daraja?
Amepanda lile la Sarenda BridgeKaka umepanda daraja?
😀😂Na hawa ndio watumishi ninaowajua mimi
Imesaidia kuwajua wapiga keleleUzi umepoa walimu wamepata mshahara wako zao Kwa mrombo wanakula nyama choma, Mpwayungu amebaki peke yake anaushangaa uzi
Mwigulu kishaachia au bado?