Na sisi tunatamani kutoka kuja huko uliko, utamu wa ngoma ingia ucheze.Watumishi wa serikali mna raha sana nawaonea wivu sanaš
Na sisi tunatamani kutoka kuja huko uliko, utamu wa ngoma ingia ucheze.Watumishi wa serikali mna raha sana nawaonea wivu sanaš
Mkuu mimi sina kazi wala kujiajiri, nipo mpaka nisubiri michongo au kibaruašNa sisi tunatamani kutoka kuja huko uliko, utamu wa ngoma ingia ucheze.
Huko huko mkuu na sisi tunapenda kufanya michongo yetu ila ndo tumeshajipiga kabali.Mkuu mimi sina kazi wala kujiajiri, nipo mpaka nisubiri michongo au kibaruaš
Kuna kipindi walikuwa wanaanza kuingiza wao, naona NMB wamepindua meza.
Basi mkuu itakuwa vice versa, watu mnataka kutoka wengine tunatamani mno kuingiaHuko huko mkuu na sisi tunapenda kufanya michongo yetu ila ndo tumeshajipiga kabali.
tayariiiii ebu tukamwagilie moyo kidogo acheni makasiliko hayo
Mkuu kwanini usiende Misa ya pili jumapili utoe sadaka šštayariiiii ebu tukamwagilie moyo kidogo acheni makasiliko hayo
CRDB we cheki muamala acha kusubiri smsNMB au CRDB?
tukutane misa ya pili mapema tu š š šMkuu kwanini usiende Misa ya pili jumapili utoe sadaka šš
CRDB we cheki muamala acha kusubiri sms
we jamaa au unafanya kazi zimbabwe?CRDB bado
mama samia juu hapo kakwambia kulikua na shida ya mtandao tatizo vitoto vyake vibishiwe jamaa au unafanya kazi zimbabwe?
we jamaa au unafanya kazi zimbabwe?
š š¤£ Mwalimu Mpwayungu Village njoo mdogo wangu uone unavyo chokozwaMpwayungu anatamani nae apate mshahara ila ndo hivyo alifeli shule
Jamaa anazinguaTz, au labda mlio chini ya halmashauri ndo mmelipwa.