Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

🤣🤣hivi waziri wa fedha ni nan vile? Mchumi mbobezi🤣🤣phd holder wa uchumi 🤣🤣🤣uchumi mimi ni fani yangu,nimeusomea🤔nyie jadilin uganga tu🙏
 
🤣🤣hivi waziri wa fedha ni nan vile? Mchumi mbobezi🤣🤣phd holder wa uchumi 🤣🤣🤣uchumi mimi ni fani yangu,nimeusomea🤔nyie jadilin uganga tu🙏
Chezea Msomi wa Kwanza Tangu Kijiji kisajiriwe 😅🙌
 
Ukiona mtu analalamikia sana mshahara kuchelewa wakati haujachelewa, elewa kuwa hilo ni teja la uraibu fulani.
Bitter truth ..Ila tujaribu kurudi nyuma kwanini mliopo kwenye ngazi za maamuzi msipige marufuku kampuni za betting maana zinafilisi watu na kuvunja familia na kutengeneza watoto wa mitaani
 
Back
Top Bottom