Hawa hawana hata kamba Mkuu, unafikiri wanakulaje?😂😅Wajipimie tu kwa urefu wa kamba yao
Kuna jambo unataka kupotosha kwa makusudi au kutofahamu kulingana na huyo mwandishi alivyoandika hiyo heading ilimradi hatujasoma maudhui yanasemaje.Gazeti la Mwananchi toleo la leo limekuja na habari kuwa serikali ya Rais Samia imeanza kupitia upya na kuhakiki mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uliotiliwa shaka na hayati Magufuli kuwa una mashariti magumu yanayolenga kuuwa taifa kiuchumi na ni kichaa tu anayeweza kusaini na kukubaliana na mashariti hayo.
Ikumbukwe waziri aliyetumbuliwa bwana Geofrey Mwambe alikanusha kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo na kwamba Magufuli alipotoshwa.
My take: Serikali inahakiki mkataba upi tena wakati haujawahi kuwepo?
View attachment 2084598
Nyinyi wasomi mnazinguka mwisho wa siku ndo mnasaini vitu vya ajabu! Hivi tangia lini sehemu inawekwa jiwe la msingi alafu kusiwe na mkataba uliosainiwa? Polepole alimuomya Waziri Mwambe kipindi kile cha Shule ya Uongozi, alimweleza kuwa usipotoshe watu, haiwezekani mkurugenzi wa ile kampuni ya China atoke China aje mpaka Bagamoyo, atoke yule mwarabu Dubai aje mmpaka Bagamoyo alafu atoke Kikwete Magogoni aende mpaka Bagamoyo ajashike lile chepe wachanganye ule udongo pale alafu kusiwe ata na Mkataba? Ni uongo mtupuKuna jambo unataka kupotosha kwa makusudi au kutofahamu kulingana na huyo mwandishi alivyoandika hiyo heading ilimradi hatujasoma maudhui yanasemaje.
Waziri aliposema haijawahi kuwepo mkataba ni kweli kwa kuwa ili isemekane Kuna mkataba basi lazima uwe na zile sofa za kuwa mkataba ikiwemp kusainiwa na pande zote .
Ukiangalia hayo ndipo inasema kwani kilikuwa na mkataba? Jibu ni HAPANA sababu hakukuwepo utiaji wa saini Yale makubaliano na hayakufikia tamati ndipo yalikatishwa kuendelea kutokana na sababu ambazo hata Waziri alishindwa kuelewa maana mambo yaliyokuja kusemwa hayakuwepo hata kwenye rasimu (draft) .
Sasa kwa sababu kilitokea sintofahamu na tayari muda umepita ni utaratibu wa kawaida kuupitia upya huo mkataba kabla ya kusaini au kuendelea na majadiliano ili kubaini kama kuna lolote lipo kinyume na yaliyotarajiwa .
Hata ingekuwa wewe ulipewa huo mkataba utasaini bila hata kufanya mapitio? (Vetting).
Mikataba yote hufanyiwa vetting kwa Attorney General na wakisharidhika ndipo hurudisha either mrekebishe au wakiona upo sawa basi wanashauri muendelee na taratibu nyingine.
So to me naona ni Jambo la kawaida na hakuna haja ya kuwa na wasiwasi au speculation zenye kuleta taharuki zisizo na msingi.
mara unasema waziri alikuwa sahihi kusema hakukuwa na mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa....hapo hapo unasema wanafanya jambo zuri kupitia huo mkataba...sasa huoni unatuchanganya,Kuna jambo unataka kupotosha kwa makusudi au kutofahamu kulingana na huyo mwandishi alivyoandika hiyo heading ilimradi hatujasoma maudhui yanasemaje.
Waziri aliposema haijawahi kuwepo mkataba ni kweli kwa kuwa ili isemekane Kuna mkataba basi lazima uwe na zile sifa za kuwa mkataba ikiwemo kusainiwa na pande zote .
Ukiangalia hayo ndipo unajiuliza kwani kilikuwa na mkataba kwenye Bagamoyo port project? Jibu ni HAPANA sababu hakukuwepo utiaji wa saini yale makubaliano na hayakufikia tamati ndipo yalikatishwa kuendelea kutokana na sababu ambazo hata Waziri alishindwa kuelewa maana mambo yaliyokuja kusemwa hayakuwepo hata kwenye rasimu (draft) .
Sasa kwa sababu ilitokea sintofahamu na tayari muda umepita ni utaratibu wa kawaida kabisa kuupitia upya huo mkataba kabla ya kusaini au kuendelea na majadiliano ili kubaini kama kuna lolote lipo kinyume na yaliyotarajiwa .
Hata ingekuwa wewe ukiipewa huo mkataba utasaini bila hata kufanya mapitio? (Vetting).
Mikataba yote ya serikali inayozidi cost ya 600 million hufanyiwa vetting kwa Attorney General na wakisharidhika ndipo hurudisha either mrekebishe au wakiona upo sawa basi wanashauri muendelee na taratibu nyingine.
So to me naona ni Jambo la kawaida na hakuna haja ya kuwa na wasiwasi au speculation zenye kuleta taharuki zisizo na msingi.
Hajitambui huyomara unasema waziri alikuwa sahihi kusema hakukuwa na mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa....hapo hapo unasema wanafanya jambo zuri kupitia huo mkataba...sasa huoni unatuchanganya,
hicho wanachotaka kukipitia ni mkataba au siyo mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa?
Waziri akiwa kwenye chombo rasmi cha habari cha serikali alisema hakuna mkataba uliowahi kuingiwa kuhusu bandari ya Bagamoyo. Sasa wanachunguza mkataba gani tena kama hakukuwa na mkataba? Unachunguza kitu ambacho hakijawahi kuexist?Taratiibu wanatimiza malengo.
Ndugu yangu kwani kuweka jiwe la msingi maana yake ndio mkataba? Ina maana panapowekwa jiwe la msingi hata kama mkataba haupo maana yake ndio umeshakuwa mkataba?Nyinyi wasomi mnazinguka mwisho wa siku ndo mnasaini vitu vya ajabu! Hivi tangia lini sehemu inawekwa jiwe la msingi alafu kusiwe na mkataba uliosainiwa? Polepole alimuomya Waziri Mwambe kipindi kile cha Shule ya Uongozi, alimweleza kuwa usipotoshe watu, haiwezekani mkurugenzi wa ile kampuni ya China atoke China aje mpaka Bagamoyo, atoke yule mwarabu Dubai aje mmpaka Bagamoyo alafu atoke Kikwete Magogoni aende mpaka Bagamoyo ajashike lile chepe wachanganye ule udongo pale alafu kusiwe ata na Mkataba? Ni uongo mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta umaarufu kupitia JF ambao hata unatimia ID fake. Soma utaelewa Ila unatafuta umaarufu bila sababu, nimeandika kwa utulivu kuelewesha lakini maadamu unaonekana mjuaji basi utapata followers ambao hawakusaidii kitu.mara unasema waziri alikuwa sahihi kusema hakukuwa na mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa....hapo hapo unasema wanafanya jambo zuri kupitia huo mkataba...sasa huoni unatuchanganya,
hicho wanachotaka kukipitia ni mkataba au siyo mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa?
Hakuna mkataba Ila Waziri huwezi kumuelewa sababu umechukua kipande Cha Waziri Mwambe aliposema hakukuwa na mkataba that's it, na unaunga na hii statement kwamba wanapitia mkataba.mara unasema waziri alikuwa sahihi kusema hakukuwa na mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa....hapo hapo unasema wanafanya jambo zuri kupitia huo mkataba...sasa huoni unatuchanganya,
hicho wanachotaka kukipitia ni mkataba au siyo mkataba kwa kuwa ulikuwa haujasainiwa?
Wewe mjuaji sana, eti haiwezekani yani unabisha tu. Labda tuanze kujuana vizuri zaidi.Nyinyi wasomi mnazinguka mwisho wa siku ndo mnasaini vitu vya ajabu! Hivi tangia lini sehemu inawekwa jiwe la msingi alafu kusiwe na mkataba uliosainiwa? Polepole alimuomya Waziri Mwambe kipindi kile cha Shule ya Uongozi, alimweleza kuwa usipotoshe watu, haiwezekani mkurugenzi wa ile kampuni ya China atoke China aje mpaka Bagamoyo, atoke yule mwarabu Dubai aje mmpaka Bagamoyo alafu atoke Kikwete Magogoni aende mpaka Bagamoyo ajashike lile chepe wachanganye ule udongo pale alafu kusiwe ata na Mkataba? Ni uongo mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia maandiko yako. Wewe mwenyewe unajichanganya mno. Tunajua mnakula kadir ya urefu wa kamba zenu ujuaji wa nini tena jaman?Unatafuta umaarufu kupitia JF ambao hata unatimia ID fake. Soma utaelewa Ila unatafuta umaarufu bila sababu, nimeandika kwa utulivu kuelewesha lakini maadamu unaonekana mjuaji basi utapata followers ambao hawakusaidii kitu.
Wacha tufanye kazi
Acha ujingaHakuna mkataba Ila Waziri huwezi kumuelewa sababu umechukua kipande Cha Waziri Mwambe aliposema hakukuwa na mkataba that's it, na unaunga na hii statement kwamba wanapitia mkataba.
Hapo lazima utajichanganya tu au utachanganyikiwa na ndio maana nasema utachanganya either unajua kwa makusudi tu au hujui.
Sasa kama hujui nimefafanua hapo juu kwenye post no. 55 vizuri kabisa nitashangaa kama utabaki bado hujui
Umesoma au umepaniki tu? Halafu sio kila anayekuja tofauti na unachokijua anakuwa mlaji au CCM.Pitia maandiko yako. Wewe mwenyewe unajichanganya mno. Tunajua mnakula kadir ya urefu wa kamba zenu ujuaji wa nini tena jaman?