Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

Kama kumtetea Mungu,wangekuwa wamempiga,na waislamu walikuwako lakini hakuguswa na mtu.Wewe wafikiri mpaka Yesu akamlani Yuda,kwa usaliti kwa vipande 30,vya dhahabu,mbona hakumuchia Mungu,wa Biblia ajitetee mwenyewe.Mwisho wa yote,Yuda kwa kuitwa msaliti,alijinyonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Yesu alimlaani Yuda? Imeandikwa wapi neno hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwehu huyo,kachana tutachapisha nyingine. Injili huwa haifi
 
Mungu mwnyewe Yesu ambae nae anasubiria siku ya mwisho.Ndugu yangu mmoja aliwahi kuniuliza swali anasema eti sasa kakaangu ninvyoenda mbele ya lile sanam linaniona na kunisikia ? Make nalibusu na kuliambia shida zangu huku nikiwa nimelipigia magoti ,nikamwambia kwakweli mm sijui kama hilo sanamu linasikia wala kuona.Naomba anaejua majibu anijuze tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongelea kuchanwa kwa biblia sio sanamu hiyo Ni mada nyingine acha kututoa kwenye reli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu duniani wanashindana tu kulinda dini na vitabu vyake, muda wote hizi dini (Christian and Islam) zilizoupoteza, ingekuwa zimechukua hatua toka zamani kuwekeza katika kumtafuta mchawi wao Shetani (Lucifer), wapi alipo na watamshindaje kwa pamoja, Yaani sasa hivi wangekuwa wameondoa tatizo linalowagombanisha wao kwa wao na kuonekana wao wenyewe ni wajinga. Mungu mwenyewe hajawahi kumiliki kitabu, yeye ni neno tu( nyinyi mnagombania nini Wana!?).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Litakuwepo wapi?
Wakati hamuwezi kuifadhi hata Aya moja ya biblia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuishika aya kichwani, moyoni isiwepo kama walivyofanya mafarisayo.
Kikubwa ni kuifahamu kweli ya Mungu na kuzifuata sheria zake kwa uaminifu.

Kwa kifupi, sio kila mtu asiyeweza kuisema hata aya moja kutoka kwenye Biblia anakuwa hamjui Mungu.

Natamani kuiona Tanzania yenye watu wanaoheshimu imani za watu wengine.

Huwa sioni faidha ya kejeli hizi kwenye kuzijenga imani zetu kwenye dini zetu. (Mf. Mimi mkristo nikimkejeli mtu wa dini nyingine naongeza nini kwenye imani yangu KIROHO?)
 
Hii ingekuwa imetokea ule "upande wa pili" ungeona wanavyotoa mapovu ya jazba!

Hawa watu ndio maana wanahusishwa na ugaidi na uhalifu wa kimataifa!

Milipuko, human trafficking, radical extremism, extra-judicial killings, ghasia na mengine mengi.

Wana mihemko ya mauaji na uharibifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa like iliyoshiba
Bibilia hata inyewe sisi wakristo hatuna Shida maana Yesu ameshasema "wasamehe maana hawajui watendalo".

Mkristo hajafundishwa kupigania kimwili mambo ya kiroho. Ila wenzetu wao ni hamasa kutetea dini hata Kwa mwili na vitu.

Serikali iko sahihi Kwa wa Quran ila wa bibilia naamini wakristo wanaweza hata kumuombea msamaha.
Ndio maana hata majini yakiwaelemea huwa wanaleta tunayafurusha Kwa Jina LA Bwana Yesu (Mungu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom