Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

Serikali imchukulie pia hatua kali aliyechana Biblia

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Natumaini hatua zile zile iliyochukua serikali hasa Mheshimwa Rais na Waziri wa Tamisemi zitafuata mkondo dhidi ya Bw. Ali Kwibe Ramadhani
FB_IMG_1581507066273.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibilia hata inyewe sisi wakristo hatuna Shida maana Yesu ameshasema "wasamehe maana hawajui watendalo".

Mkristo hajafundishwa kupigania kimwili mambo ya kiroho. Ila wenzetu wao ni hamasa kutetea dini hata Kwa mwili na vitu.

Serikali iko sahihi Kwa wa Quran ila wa bibilia naamini wakristo wanaweza hata kumuombea msamaha.
Ndio maana hata majini yakiwaelemea huwa wanaleta tunayafurusha Kwa Jina LA Bwana Yesu (Mungu).
 
Yule wa quran alishikwa Kwa kuhofia kuuwawa na wafia dini,angesababisha mtafaruko,machafuko na hata makanisa kuchomwa na vifo ndomaana wakamshikilia.

Huyu wa biblia hamna mtu mwenye mda naye isipokuwa kumuonea huruma na kumuombea maana imeandikwa Yesu aliagiza kuwapenda adui zako na kuwaombea.
 
Wakristu hawana haya,
huwa wanaamini Mungu ndiye msimamizi na mwamuzi,
lakini wenzetu,
huwa wanaamini Mungu amelala na ni jukumu lao kumtetea,
ndio maana hizo adhabu wao watafurahia kwani nimewahi kusikia hata watu wanapigwa mawe na kuchomwa moto kwa kuvunja amri za Allah.

cc. FaizaFoxy
 
Wakristo hawana huo muda
Mungu hujipigania mwenyewe tu haitaji msaada wala kuasaidiwa na yoyote ambaye anajiita mkristo akipelek kesi mahakamani huyo atakuwa mjinga na sio mkristo
Kamwe na asije akajaribu kujiita mkristo

Let the love lead
 
Wakristu hawana haya,
huwa wanaamini Mungu ndiye msimamizi na mwamuzi,
lakini wenzetu,
huwa wanaamini Mungu amelala na ni jukumu lao kumtetea,
ndio maana hizo adhabu wao watafurahia kwani nimewahi kusikia hata watu wanapigwa mawe na kuchomwa moto kwa kuvunja amri za Allah.
Nakazia tu wakati imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa.
 
Bibilia hata inyewe sisi wakristo hatuna Shida maana Yesu ameshasema "wasamehe maana hawajui watendalo".

Mkristo hajafundishwa kupigania kimwili mambo ya kiroho. Ila wenzetu wao ni hamasa kutetea dini hata Kwa mwili na vitu.

Serikali iko sahihi Kwa wa Quran ila wa bibilia naamini wakristo wanaweza hata kumuombea msamaha
Uko sahihi kabisa.
Ukristo na Uislam ni vitu viwili tofauti. Wao Mungu wao anapiganiwa na wanadamu!
 
Hamjiulizi kwanini hamna uchungu na kitabu chenu?
Bibilia hata inyewe sisi wakristo hatuna Shida maana Yesu ameshasema "wasamehe maana hawajui watendalo".

Mkristo hajafundishwa kupigania kimwili mambo ya kiroho. Ila wenzetu wao ni hamasa kutetea dini hata Kwa mwili na vitu.

Serikali iko sahihi Kwa wa Quran ila wa bibilia naamini wakristo wanaweza hata kumuombea msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akichana kitabu haisaidi kitu. Asilimia kubwa ya maono watu wako nayo kichwani
Pia hakuna kitu kizuri kama kumpuuza mtu na kutompa attetion lazima aongee na kisogo chako

Huyu kashasamehewa hata kabla hajachana
Sio kweli.
Semeni tu hamna uchungu na kitabu chenu huo ndio ukweli.hakipo mioyoni mwenu hamna uchungu nazo mnakichukulia kama GAZETI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom