Serikali ikiendelea kuwachekea hawa masheikh ikiamini wanaisaidia serikali watazalisha tatizo ambalo hawataweza kulitibu

Serikali ichukue hatua isibariki kauli za kichochezi hata kama ni za mlengo wao ,haya ya kidini yabaki huku huku mtaani ila yasipewe nguvu na serikali
CCM wako tayari hata kukuua as far as interests zao zitakua poa
 
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo

Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali

Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa dini gani , majibu yanatakiwa yatoke kwa serikali tu, kwa masheikh kuijibia serikali au maaskofu kuijibia serikali si sawa kabisa.

Serikali iwe makini itazalisha tatizo ambao haitaweza kulitatua kirahisi maana ikiwa masheikh wameanza kutoa maneno ya kuwasema wakristo moja kwa moja maana yake ikiwa wakristo maaskofu nao watakosa busara na wakataka kujibu tutaelekea kwenye jambo baya kuwahi kutokea nchi hii.

Serikali isiwaamini viongozi wa dini kujipa usemaji au utetezi wa serikali, majibu ya kujibiwa na serikali yajibiwe na serikali na sio sheikh au askofu kuijibia serikali.

Ikumbukwe sheikh au askofu kuihoji serikali kwa jambo ambalo wana hofu nalo sio dhambi lakini ni kosa sana viongozi wa dini kujivika utetezi wa serikali kwa namna yeyote ile.

Serikali ikemee hii hali inahatarisha usalama wa nchi mambo huwa yanaanza hivi hivi yanaanzia kwenye majibizano na baadae yakua na yanahamia kushikana mwilini ugomvi wowote huanzia kwenye maneno kwanza.

NAWASILISHA
Kwa hiyo umeamua kuwa mpiga fitina na majungu siyo? Watu wa kudhibitiwa ni maaskofu wanaochanganya dini na siasa baada ya kuhongwa vipande 30 vya fedha.
 
Soma uelewe wewe maamuma kuna kiongozi wa kikristo umeona kausema uislamu kama sheikh wa mwanza alivyo usema ukristo?

Hoja za serikali zijibiwe na serikali nansio viongozi wa dini ndio hoja yangu.

Au ndio maana mnafundisha karate watoto huko kwenye shule zenu kwa vile mnaitafuta vita na wakristo?
WAKRISTO wanapinga DP WORLD na waislamu wanaunga DP WORLD,na haya ya uchochezi unayaleta wewe
 
Inasikitisha sana, mtoa mada kasema wakutoa majibu ya serikali ni serikali na sio viongozi wa dini! Hivyo hili swala lisifumbiwe macho wapigwe marufuku!!

SAsa Hapo huelewi nini wewe kijukuu cha mtume? Au unacho jua ni Quran tu! Vingine havikuhusu?
Unasahau kua serikali ni watu na watu ndio Sisi na hao mashekh na maaskofu,ondoa mavi hayo kichwani
 
Wagalatia wanaongelea vipengele vibovu vya Mkataba ,sio Kwa sababu Mkataba ni baina ya Serikali na Waarabu/ Waislam!
Mlishaambiwa mkataba utapitiwa na penye mapungufu patarekebishwa,shida yenu wala nguruwe ni chuki ya DINI
 
Muislamu anaweza kumbana Mkristo kweli au ni hekima tu inatumika.Mnafikiri Wakristo wakiamua kuwaweka mtu kati,mnadhani mtakuja kumuona Muislamu pale Ikulu.Nyie shukuruni tu Wakristo wa Tanzania wana hekima lakini wakiamua kuikalia hii nchi kila kona na msipumue wanaweza sana,jidanganyeni!
Mwambie hajui,,tatizo Elimu akasome historia ya dunian,,Mpaka Leo hajui anateongoza Dunia,,Akamuulize Gaddafi,, Pia aende Israel Huko ataona
 
Hao viongozi wa dini wa upande wa pili na hao wa upande wenu wa kwanza, nani ambao wana elimu nzuri,waliolemikia na uelewa mzuri wa mambo!!??

Kwa mwenye elimu nzuri yeyote na aliyeelimika vyema na mwenye utimamu wa akili na uelewa mzuri wa mambo,kamwe hawezi kubaliana na huo upuuzi wa IGA.
Elimu nzuri bila akili kichwani na kazi bure,ndio maana rahisi sana kuona mwanaume na mwanaume wanaozeshwa/wanafungishwa ndoa kanisani
 
Ukimsema mwarabu umeusema uislam huu upumbuvu unachagizwa na uislam kuchukua kila lililo la mwarabu yaani mila na tamaduni zao utakuta jitu lina lugha yake lakini salamu kwa kiarabu anaona ndio inampa thawabu matokeo yake ni utumwa wa kiimani na kifikra.
Ni kama ukimsema MZUNGU unamsema MKRISTO,hivi huu ujinga mtauacha lini WAKRISTO?
 
Mtoa hoja uko sahihi, mimi pia, kiukweli, huwa sipendi hii tabia. Mara nyingi mimi naogopa hata kuzifungua clips za watu wa dini kwa kuogopa nitakayoyakuta huko. Lakini ungekuwa sshihi zaidi kama ungeenda 'deep' zaidi kwa kuangalia chanzo halisi haswa cha hali hii na kulisemea kuanzia huko.
Chunguza vizuri nyakati na aina ya makemeo yanayotoka kwa viongozi wetu wa dini kwenda kwa serikali. Kuna nyakati kiongozi mkuu wa serikali hana nafasi wala pumzi ya kupumua katika mipango yake ya kimaendeleo kama kiongozi. Kila mpango wake wowote wa kimaendeleo (kiuchumi) huingiliwa kwa lundo (rundo?) la waraka na matamko......yaani ni kama hakuna kuaminika na wao wanajivika u'filters' wa kila mpango wake. Nyumba za ibada na siku za ibada huwa maalum kwa matamko kila baasa ya sala. Haya hufanyika kijanja sana chini ya 'usomi' na 'uchambuzi' ulioshiba tu......kipengele kwa kipengele.

Wakati huo huo kuna nyakati mtawala mkuu hupata relief......ataingiliwa kwa mengine tu tena very partially lakini mipango yake ya nini akusanye na kivipi hata haijadiliwi sana. Shwari hutamalaki na mtawala hupata haki ya kutawala. Hayo, mtoa mada, kwa kujua au kutokujua, ndiyo yanayotuletea hali kama hizi unazozikemea sasa.

Nachukia haya mambo kwakweli.
Huyo mtoa mada ni MKRISTO flani MPUUZI hivi, wala asikufikirishe
 
Hata kwenye uzi kumejaa mabishano na mashutumu juu ya dini mbili...
 
WAKRISTO wanapinga DP WORLD na waislamu wanaunga DP WORLD,na haya ya uchochezi unayaleta wewe
Wapo waislam wenye akili nao wanapinga ila wengi wa wanao unga mkono ni kwa sababu tu ya uislam wa walio ingia mkataba huo yani Mh.Rais na kundi lake , na uarabu wa wawekezaji , hawana hoja nyingine hao waislam maamuma.
 
Waislam wameonesha kiwango kidogo sana cha akili katika hili. Huyu mama hasemwi sababu ya imani yake. Magufuli tumesema sana tu pamoja na kwamba ni mkristo mwenzetu. Tundu Lissu alisema sana ,na wengine, na sisi mitandaoni. Sisi wakristo hatuwazi imani ya mtu katika hoja, hatujafundishwa kuwa vipofu sababu ya imani. Huyu mama atasemwa tu anapokosea. Mnadhani sisi muda wote tunawaza kama tupo kanisani. Sisi tuna uwezo wa kutofautisha mtu na imani yake. Tutamsema tu kwa kuwa mkataba ni wa hovyo. Sio sababu ni muislam. Mkielewa hilo tutafika mbali. DP world ipo mataifa kibao na wanafanya kazi nzuri hatukatai. Ila mikataba yao haifanani na wakwetu ndio masheikh wajinga wasichoelewa. Wao kutwa wanawaza mashindano ya kidini. Stupid.
Sasa wewe mgalatia na akili zenu kubwa/nyingi kama msemavo serikali imesema unaupitia upya mkataba na kufanya marekebisho penye kadhia/makosa/mapungufu ugumu wa kuelewa uko wapi hapo,halafu nyie na akili zenu kubwa mbona bado nchi yenu hii ni masikini ombaomba na bado nyie wenyewe ombaomba na mafukara,halafu hiyo elimu ya kukaririshwa Kwa ajili ya kuoperate vitu vidogo mbona ni elimu finyu sana
 
Wapo waislam wenye akili nao wanapinga ila wengi wa wanao unga mkono ni kwa sababu tu ya uislam wa walio ingia mkataba huo yani Mh.Rais na kundi lake , na uarabu wa wawekezaji , hawana hoja nyingine hao waislam maamuma.
Sijaona kwenye maandiko yako ulisema wapi waislamu wenye akili wanapinga DP WORLD na badala yake unawajumuisha waislamu wote kua hawana elimu/akili lakini WAKRISTO wana akili sababu wanapinga DP WORLD,shida yenu nyie mnaopinga udini ndio WADINI wenyewe na WAHARIBIFU,Ila mnapandikiza mbegu mbaya sana,yaani hii DP WORLD mnaifanya ndio fimbo ya kumchapia Raisi huyu muislamu,sasa acheni Tu hao mnaowaita MASHEHE UMBWABWA wapate airtime
 
Sijaona kwenye maandiko yako ulisema wapi waislamu wenye akili wanapinga DP WORLD na badala yake unawajumuisha waislamu wote kua hawana elimu/akili lakini WAKRISTO wana akili sababu wanapinga DP WORLD,shida yenu nyie mnaopinga udini ndio WADINI wenyewe na WAHARIBIFU,Ila mnapandikiza mbegu mbaya sana,yaani hii DP WORLD mnaifanya ndio fimbo ya kumchapia Raisi huyu muislamu,sasa acheni Tu hao mnaowaita MASHEHE UMBWABWA wapate airtime
Tukutane 2025
 
Back
Top Bottom