Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 909
Huu ndio ukweli hata serikali ikiboresha mazingira vipi bado itaendelea kutoa zero tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo shule ina mchujo mkali sana. Unataka serikali nayo ipitishe mchujo kwenye shule zake hao wanaochujwa watamalizia wapi kidato cha nne endapo serkali itafanya jambo kama hilo??
Serikali inachukua wanaofanya vizuri, wastani na low performers. Wakati hiyo st francis wanachukua cream tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app