SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
2,536
Reaction score
6,561
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.

Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.

Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.

Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au walikua na lengo la hiyo miradi kuitwa majina yao.

Ni unafiki na upambe wa walio chini yao kufanya kama kulipa fadhila kwa wateuzi wao.

Uzi tayari.
 
Screenshot_2025-07-20-04-14-33-13_1c337646f29875672b5a61192b9010f9.jpg
 
Nimesoma mahali maoni ya majirani pia wakishangaa mpaka leo bado kuna mambo ya namna hii.

Viwanja vya mpira wa miguu vinavyojengwa kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2027.

Kenya- Talanta Stadium

Uganda-Hoima City Stadium

Tanzania-????

NB:Wenyewe wanapenda,machawa wanapita humohumo tu kama hawapendi si wakatae.
 
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.

Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.

Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.

Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au walikua na lengo la hiyo miradi kuitwa majina yao.

Ni unafiki na upambe wa walio chini yao kufanya kama kulipa fadhila kwa wateuzi wao.

Uzi tayari.
Station ya Tabora itaitwa Ali Hassan Mwinyi, mwanza Nyerere, kigoma Mkapa, Tutaendelea kila stations hadi tuje kwa mawazir wa fedha
 
Yani hamna hata uniqueness
Ilitakiwa ikitajwa mkapa basi aidha ni mkapa Rais mstaafu au uwanja wa mkapa, ila sasa utitiri wa wa mkapa mara shule mara hospital, mara daraja 🤔🤔
Alietuwangia alifanikiwa pakubwa maana akili zimegandiana pakubwa.
 
Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa.

Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔.

Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli.

Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au walikua na lengo la hiyo miradi kuitwa majina yao.

Ni unafiki na upambe wa walio chini yao kufanya kama kulipa fadhila kwa wateuzi wao.

Uzi tayari.
Mama ametoa hela zake kwanini isipewe majina anayoyataka yeye, mbona anayafurahia tu.
 
Yani hamna hata uniqueness
Ilitakiwa ikitajwa mkapa basi aidha ni mkapa Rais mstaafu au uwanja wa mkapa, ila sasa utitiri wa wa mkapa mara shule mara hospital, mara daraja 🤔🤔
Alietuwangia alifanikiwa pakubwa maana akili zimegandiana pakubwa.
Kwenye shule wapo hadi akina salma kikwete, Makamba nk. Tuongelee kwenye strategic projects tu
 
Back
Top Bottom