Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

Sasa ndo umeandika nini? Au Joyce Kiria kakukera leo? Maana sijui kama umeelewa nini umeandika na nini kinaendelea. Hasira zako na mkeo usizihamishie kwenye jukwaa. Unavuruga
You are too stupid to understand him!
 
Ni kweli mkoa wa kilimanjaro wanakula shuleni mchana na ni lazima. Hii inasaidia sana wanafunzi wa huo mkoa kufaulu vizuri.
Yani kilimanjaro kila kitu kwao dili sasa chakula cha mwanao si makubaliano ya shule na wazazi serikali napo iseme bure
 
Sasa ndo umeandika nini? Au Joyce Kiria kakukera leo? Maana sijui kama umeelewa nini umeandika na nini kinaendelea. Hasira zako na mkeo usizihamishie kwenye jukwaa. Unavuruga
Jibu kwa hoja sio mipasho.
 
Mkuu, Sijui kwa nini huoni unafauu huo mkubwa alioupata Mzazi/Mlezi, binafsi naona unafuu
 
Bado ninapongeza juhudi za serikali katika kuboresha maisha ya Watazania hasa kwa kuimarisha nidhamu ya fedha na utumishi serikalini.
Lakini ninaonya kuwa kuaminika huku kwa rais kusitibuliwe....Na wasaidizi wake...!Maana bado tuna kumbukumbu ya ahadi zilizotolewa wakati wa kampeini na kuwa zitafanyiwa kazi haraka baada ya serikali kuingia madarakani.
=========================================================== Unajua wangeeleweka kama wangesema watapunguza gharama za elimu ya msingi na sekondari, kuliko kusema watatoa elimu bure. Ama wangesema serikali itafuta karo/ada ya eleimu ya msingi na sekondari kuliko kusema watatoa elimu bure. Hakuna kitu kibaya kugundulika kuwa wewe ni muongo...ama mdanganyifu. Goli la mkono...!
 
Elimu bure tunashukuru serikali. Ila iboreshe mazingira ya elimu bure. Ada iliyokuwa inatolewa ilikuwa sehemu ndogo sana ya uendeshaji wa shule serikali inatakiwa kusaidia hizi shule. Sasa inapopeleka shuleni fidia ya ada na baadhi ya michango tu bila ya support ya ruzuku nyingine inaboresha shule au inaziacha hoi ktk uendeshaji...
 
Mkuu Lizaboni pambana na Kilewo achana na Mkewe
 
Bado ninapongeza juhudi za serikali katika kuboresha maisha ya Watazania hasa kwa kuimarisha nidhamu ya fedha na utumishi serikalini.
Lakini ninaonya kuwa kuaminika huku kwa rais kusitibuliwe....Na wasaidizi wake...!Maana bado tuna kumbukumbu ya ahadi zilizotolewa wakati wa kampeini na kuwa zitafanyiwa kazi haraka baada ya serikali kuingia madarakani.
=========================================================== Unajua wangeeleweka kama wangesema watapunguza gharama za elimu ya msingi na sekondari, kuliko kusema watatoa elimu bure. Ama wangesema serikali itafuta karo/ada ya eleimu ya msingi na sekondari kuliko kusema watatoa elimu bure. Hakuna kitu kibaya kugundulika kuwa wewe ni muongo...ama mdanganyifu. Goli la mkono...!
Ujue nyinyi mnatuchanganya hebu tuambie mchango upi bado upo shuleni kama ni uniform,chakula kwa wakutwa,madaftari,godoro,pesa za kujikimu hivyo ni mjukumu ya mzazi kama unavishindwa mpeleke mwanao ktk vituo vya kulelea watoto yatims
 
Hiyo ilani ya ukawa ila magufuli bure bure kweli kweli
sidhani kama una mtu unaemsomesha kwa kuwa Jana nilimpigia simu Mwalimu mkuu wa shule moja ambae kuna mtoto nilijitolea kumsomesha kwa kuwa wazazi wake hawana uwezo kudai ufafanuzi wa michango akaniambia nisome waraka ili nijue majukumu ya mzazi/mlezi , nikamwambia nimeusoma akanijibu sasa unatakiwa ulipe 160000 lasivyo mtoto hatapokelewa.
 
Yani katika vyote mtu anakuja kulalamika kuhusu chakula kwa wanafunzi wa kutwa...Mzazi kama Huyu nahisi kama chakula kingekuwa kinatolewa basi angekuwa yuko ladhi mtt asihudhurie vipindi ila ikifika muda wa lunch anamwambia nenda shule kapige msosi
Hahahahahaaaaa! Halafu mkuu wazazi wa aina hiyo kwa kula bata! Yaani wakati wa lunch wanawaita vimada wao wanaofanya kazi pamoja anawanunulia chakula. Jioni anakula bata na mademu zake wa mitaani. Then kulipia chakula ili mtoto wake ashibe anaanza kulalamika. Mpuuzi sana huyo
 
sidhani kama una mtu unaemsomesha kwa kuwa Jana nilimpigia simu Mwalimu mkuu wa shule moja ambae kuna mtoto nilijitolea kumsomesha kwa kuwa wazazi wake hawana uwezo kudai ufafanuzi wa michango akaniambia nisome waraka ili nijue majukumu ya mzazi/mlezi , nikamwambia nimeusoma akanijibu sasa unatakiwa ulipe 160000 lasivyo mtoto hatapokelewa.
Shule gani hiyo? Na je ni wazazi wangapi wana access na huo waraka? Acheni upunguani. Msitafite kick kwa mambo msiyoyajua
 
Kwani kwenye shule za kutwa wanapika chakula cha mchana? Kama kinapikwa, si mkakati wa serikali bali ni makubaliano baina ya shule na wazazi. Nalo linakubalika. Ila kwa wale wanafunzi wa bweni, bajeti ya chakula ipo
mkuu pole na majukumu shule ( asilimia kubwa Moshi Vijijini) za msingi na zile za kata asilimia kubwa wanakula shule na hii imesaidia mahudhurio kuongezeka na wanafunzi kupata muda mrefu wa kujisomea na hivyo kuleta maendeleo na kuchochea ufaulu.Na hii wanafunzi/wazazi wanachangia kwa shule za msingi ni debe la mahindi na sadolini ya Maharage kwa mwaka. Niambie hapa utekelezaji wa agizo litakuwaje
 
Ujue nyinyi mnatuchanganya hebu tuambie mchango upi bado upo shuleni kama ni uniform,chakula kwa wakutwa,madaftari,godoro,pesa za kujikimu hivyo ni mjukumu ya mzazi kama unavishindwa mpeleke mwanao ktk vituo vya kulelea watoto yatims
Jibu linajitosheleza. Kama hawana uwezo hata wa kununua uniform basi serikali iwakamate wazazi hao na kuwashitaki kwa kuzaa watoto hovyo ilhali hawana uwezo wa kuhudumia
 
Nyinyi bisheni tu lakini kwa hili Magufuli amejivika kitanzi. Huku vijijini wananchi walivyoelewa ni kwamba hakuna michango yoyote. Mchango uliokuwa ukiwasumbua sana wazazi ni mchango wa chakula.Shule za kutwa bila chakula ni kuua elimu kabisa, huwezi kumfundisha mwanafunzi mwenye njaa akaelewa.Magufuli anazidi kupoteza imani kwa watu mbali mbali,waathirika wa bomoabomoa,wenye shule binafsi, wazazi na wanafunzi wa shule za kutwa,baada ya miezi sifa Lumumba tu ndiyo watakaokuwa wanamkubali!
 
Chadema kila siku wanaponda viongozi Wa ccm kuwa ni wabovu lkn cha kushangaza ukifika uchaguzi chadema haohao wanaazima wagombea ccm.!?!!

Mgombea wao alitoka ccm

Wabunge Wa viti maalumu chadema wameteuliwa kutoka ccm
 
Tuanapokuwa tunaongea mambo ya kitaifa tauche upambe,kweli ni hatua nzuri ya Serikali iliyochukua,na bila kinyongo tunampongeza Rais wetu mpendwa,lakin mimi kama mzazi ningeomba mzigo mkubwa uchukuliwe na Serikali,kuna michango mingi midogo inayotuumiza,pili mimi kama mzaz nauliza ni kwa nini Serikali ikwepe Elimu ya juu ambako kuna ghalama kubwa zaid ikimbilie ngazi ya chini?Vyuoni kwa mfano tunapata Elimu ya matabaka kwa sababu tofauti ya vipato.Nafikir wewe huna watoto ni haki yako kusema hivyo
 
Back
Top Bottom