Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi .
Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa wapumbavu wa nchi.
Na sisi tumewashtukia michezo yao.
Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa wapumbavu wa nchi.
Na sisi tumewashtukia michezo yao.