Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Vita kali.Watauana.Basi hapo hizo familia zitapigana vikumbo kugombania pesa hizo lol, khaaaaaaah
Ila cocastic unapenda kubadirisha avatar ila ukiona naomba ukae tu kimya usinitukane bure mie mtoto wa watu
Yaaaan kila mtu atataka apate mgawo, duuuuh inakuwa vurugu match tyuuh.Vita kali.Watauana.
Hapo wamesha piga 20% zaoDuhhh...
Yaani kwa hesabu ya miaka yote tangu marehemu wazikwe ndio leo wana kujana 20 and 60 millions..
Aibu nineon mimi.
Hapo kwa mzee majuto si-niwatu watanga wale !?Baba Kanumba Mungu amempenda zaidi
Kabakia mzazi mmoja ambaye ndio mama,atakula jasho la mwanae
Sijui kwa mzee Majuto,maana aliacha mke na watoto wengi
Hapo kwa mzee majuto si-niwatu watanga wale !?
Wata rushiana majini ..mpaka majini yenyewe yaombe poooh
Hahaa ndio hivyo wewe fuatilia tu hilo saga
Yaaan hizi pesa zitagombanisha familia wallah.Hahaa ndio hivyo wewe fuatilia tu hilo saga
Hapo kwa mzee majuto si-niwatu watanga wale !?
Wata rushiana majini ..mpaka majini yenyewe yaombe poooh