Serikali chini ya Samia mnapoteza muda kupambana na TEC, hamtoweza

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
 
Hiyo ni serikali ya majambazi yaliyojizima data siku nyingi.
 
1766881556326.jpg
 
Shauri zao.TEC ni sawa na taifa ndani ya taifa, maana TEC na Vatican ni kitu kimoja.Sasa Vatican inatambulika na ina balozi zake huwezi sanuka kwamba huu mchezo hautaki nguvu.

Ukigusa TEC directly umegusa kanisa katoliki Tanzania na ukigusa kanisa katoliki maana yake umegusa Vatican.Yangu macho na masikio(Kanisa litashinda kama kuna ugomvi wa namna yoyote)
 
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
Heshima kwa TEC
 
Tatizo labda hawawezi kujibu hoja! Kumbuka wanaitwa ma Dr, wana PhD, degrees na kujigamba wana elimu, hata hatuelewi kwanini elimu yao inashindwa kuwaelimisha na kujibu hoja zetu na za hawa theologist?!
Inatushangaza tuna viongozi wa namna gani wanaodhania kutesa, kunyima haki, kututeka, kutudhalilisha na hata kutuuwa ndio suluhisho la kutuongoza!
Tanzania imekuwa kichekesho, IKULU haina heshima, amri na mawazo yanatolewa na wasanii, watoto wa viongozi na wababaishaji!
 
Pumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
 
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
Vichwa pazi hao kobaz hawawezi kuelewa, kwa sababu kichwani mwao wanawaza udini, ujinga na kupunguziwa kodi ya tende.
 
Pumba tupu, eti wanakariri bila kujua maana, nani kakwabia, ulivyo kua sio mfatiliaji hujui hata ni lini lugha ya kanisa katoriki ilibadilika kutona kilatino. Hao teki ni magaidi.
Ni kuulize neno "Amani ya hiwe nawe" kwa kiarabu unaongeaje ?.Ukijibu hapa na kupa milioni moja cash
 
Mbona Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Hana hata habari na TEC ila TEC ndo wenye habari nae! Kutwa kucha kazi ya kumshambulia tu. Amiri jeshi mkuu alishasema, "hakuna taasisi ya kidini inayoweza kuoverride serikali" basi akamaliza na yupo anaendelea na mishe zake. Ni nyie tu vidampa ndo mnahangaika ye alishaachana na nyie.
 
TEC ni wamissionale na kazi ya wamissionale ni kulinda masilahi ya Wazungu

Na mama amekata mirija ya Wazungu ndio maana unaona TEC wanahangaika

Bandali amepewa waarabu TEC wakaumia sana

Madini amepewa China na Urusi TEC wameumia sana

TEC walikuwa wanaihijumu nchi Kwa kutumia kivuli Cha dini na Sasa wameshachokwa inakatwa mirija Yao na mirija ya hao mabwana zao
 
🤔 🤔. Ni maslahi gani TEC ambayo walikuwa wanapata na sasa hawapati??

Angalia hii, imefanyika ndani ya miezi kadhaa tu.

Tatizo lenu kichwani mmejaza 💩💩
31582.jpg
 
Serikalinya samia haipambani na TEC
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!

Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa chini ya malezi ya kikatoliki ila alipoanza Udikteta Uchwara, TEC walilala na JPM sahani moja mpaka kifo cha JPM, ilifika pahala JPM alikuwa frastuated sana na hawa jamaa zake mpaka hakujua nini cha kufanya. In his deathbed JPM alitubu kwa imani yake na kusema kuwa anatambua TEC ni taasisi imara kwa maslahi ya wananchi.

Kwa mfano, Shambulio la lissu… kuna muislam au mlokole au KKKT aliefungua mdomo? Ni TEC pekee ndio walitoa waraka upfront immediately. TEC ni foundations behind the human truth and Consciousness… you should clearly note that na machwa wako wanakupeleka shimoni

Ni upumbavu wa hali ya juu mtu kuamini kuwa TEC inashida na serikali ya sasa eti kisa ni muislam !! Hivi Samia ndio Rais pekee wa Islam kutokea TZ….?By the way hivi uislam unaleta ugali au matibabu?

Nadhan Samia ajifunze kwanza Composition ya TEC, TEC inachukuwa the cream brains na kuzi intergrate kwenye mifumo ya kidini. mfumo wa elimu ya kiislam ni madrasa ambao sio mfumo wa elimu ya utambuzi na self realization -imagine mtu anafundishwa kukariri kitu ambacho hata maana yake hajui but anajua kukisoma na kukariri Ila hajui maana yake.

Nadhani Samia ajifunze kwanza what is TEC na vita na TEC hatoiweza hadi anamaliza muda wake, kwasababu TEC ukiwaona upfront ujue wanaongelea maslahi ya taifa na wananchi, sio kama wale wenzetu ukiwaona upfront ujue wanaizungumzia TEC ! Uliwahi kusikia kiongozi wa TEC akizungumzia Islam
hata siku moja?
Wakati unaendelea kupambana na TEC na wadai haki…..by the time unakuja kuamka kwenye hiyo illusion ya amani bila haki …. Itakuwa umeshachelewa sana na hasara haitokuwa kwako tu but hata kwa taifa maana be assured that hata ufanye nini TEC will never stop kuzungumzia haki—— unajipotezea muda tu…

..haki ni independent variable na Amani ni outcome Yaani dependent variable , so Samia na team yako stop deluding yourselves hakuna kitu kinachoitwa amani kwanza kisha haki… huo ni UHUNI na UTAPELI hata mu cosmetic vipi
Wakati unapambana na wananchi wako , watu wanajenga nchi zao …. Endeleeni kuwa kwenye usingizi mzito

Heshima kubwa sana kwenu TEC , Sio muumini wa kikristo wala Islam but nina heshima kubwa sana na TEC …. Kama nikiambiwa kuchagua basi nitaenda TEC/Catholic

Dr Megalodon Mushi
Canada
Serikali haipambani na TEC BALI TEC NDIO WANAPAMBANA NA SAMIA,alichofanya samia ni kuwaeleza TEC jambo hilo waziwazi,siwezi kujua atashinda nani,lakini huko mbeleni kutatokea mtanange wa hivi hivi pale rais atakapokuwa mkatoliki na hiyo dini nyingine itaingia vitani.Mungu atunusuru sisi wadogo tusiokuwa na mbele wala nyuma
 
Mbona Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Hana hata habari na TEC ila TEC ndo wenye habari nae! Kutwa kucha kazi ya kumshambulia tu. Amiri jeshi mkuu alishasema, "hakuna taasisi ya kidini inayoweza kuoverride serikali" basi akamaliza na yupo anaendelea na mishe zake. Ni nyie tu vidampa ndo mnahangaika ye alishaachana na nyie.
Ni wapi TEC wamemsema Samia, na wewe ni kadampa mwingine tu.
 
Back
Top Bottom