Kazi ya budget ni nini?Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fedha zetu wananchi.
anyway bajeti unayosikia kila mwezi wa sita ikipitishwa bungeni ndyo kodi yako wewe, yule, huyu na mimi
Zinaenda kwa wafuatao:Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha
Nataka jibu sio swali.Kodi zetu ndio bajeti ?
Faki zati bichi.INA MAANA HAUJUI KAZI YA KODI
ANYWAY
TAZAMA MIONDOMBINU INAYOJENGWA KILA KUKICHA
TAZAMA AJIRA ZA KUMWAGA
TAZAMA SHULE ZA KISASA ZINAZOJENGWA .
TAZAMA HOSPTALI ZA KISASA
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA UMEME ,MAJI N.K
THE LIST IS ENDLESS
KAZI ANAYOFANYA MAMA WA AFRICA NI YA KI-MUNGU ZAIDI ANABIDI KUPONGEZWA NA KUOMBEWA NA TAIFA ZIMA
Faki zati bichi.
INA MAANA HAUJUI KAZI YA KODI
ANYWAY
TAZAMA MIONDOMBINU INAYOJENGWA KILA KUKICHA
TAZAMA AJIRA ZA KUMWAGA
TAZAMA SHULE ZA KISASA ZINAZOJENGWA .
TAZAMA HOSPTALI ZA KISASA
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA UMEME ,MAJI N.K
THE LIST IS ENDLESS
KAZI ANAYOFANYA MAMA WA AFRICA NI YA KI-MUNGU ZAIDI ANABIDI KUPONGEZWA NA KUOMBEWA NA TAIFA ZIMA
TAZAMA KODI YAKO ILIVYOTUMIKA KUUWA WATANGANYIKA OKTOBA 29
TAZAMA MAKABURI YA HALAIKI YA WALIOULIWA OKTOBA 29, 2025
umeandika ili nawe uonekane umesema lakini hili andiko lako halina mashiko.Serikali baada ya kukusanya kodi zetu haitoi ufafanuzi sahihi mfano huu mwaka serikali imekusanya takriban trilioni 8.7 za kitanzania Lakini hatuambiwi mgawanyiko wa hizi fedha maana ni fe
Nani aliyekuambia mimi nina chama?Muda huu badala ya kupambania chama chenu nyie mnatukana watu
Ikifika 2030 mnasema mmeibiwa kura
Mwanangu umebadirika siku hizi umepiga u-turn which beach are you talking about is that bitch? Au imeiva?Faki zati bichi.
Nani aliyekuambia mimi nina chama?
CCMMTU MWENYE UWEZO HAFIFU WA KUJENGA HOJA NA KUKIMBILIA MATUSI UNAFIKIRI ATAKUWA CHAMA GANI
Bichi.Mwanangu umebadirika siku hizi umepiga u-turn which beach are you talking about is that bitch? Au imeiva?
Eti shule na hospital za kisasa kama zipi? Mbona wakiugua tezi dume na figo wanakimbilia Ulaya na India.Hizo shule mbona watoto wanasoma private.INA MAANA HAUJUI KAZI YA KODI
ANYWAY
TAZAMA MIONDOMBINU INAYOJENGWA KILA KUKICHA
TAZAMA AJIRA ZA KUMWAGA
TAZAMA SHULE ZA KISASA ZINAZOJENGWA .
TAZAMA HOSPTALI ZA KISASA
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA UMEME ,MAJI N.K
THE LIST IS ENDLESS
KAZI ANAYOFANYA MAMA WA AFRICA NI YA KI-MUNGU ZAIDI ANABIDI KUPONGEZWA NA KUOMBEWA NA TAIFA ZIMA