Hili la kuelekea S1 dah ni ndoto ninayoomba nisiiote maana naweza kuamka kichwa kikuma. Mwaka 1985 tulijiita Watanzania, leo kuna Watanzania na Wazanzibar.Sheikh Ngruvi3 naona bado "hujanfahamu": mimi siungi mkono "udhalimu" wa Zenj dhidi ya Tanganyika.
Mimi ni muumini wa Muungano. Hofu yangu ni kwamba tukiwa na 3 basi muungano utakufa.
Ninaunga mkono 2 (zisizo na unyonyaji) kama "transitory process towards 1". Naamini baada ya miaka mingi ijayo ndoto hiyo itatimia...baada ya wale wenye "uchu wa madaraka" (kama waitwavyo) na wale "wenye uchungu sana na mapinduzi daima" kuwa wamepisha kizazi kingine ambacho kitajali zaidi maendeleo kwa wananchi kuliko historia.
Ila, kama plan B, ikiwa tumeshindwa kuafikiana kwa 2 au 3, tutafute namna ya kuachana kwa amani. Tujipe kama miaka 10 kama twataka Muungano na kwa muundo upi. Tutaachana kwa kura ya maoni kwa wananchi, na tujiulize baadaye kwa kura ya maoni kama twataka kuungana tena kwa mtindo upi. Katika kipindi hicho cha miaka 10 kila upande uendeshe mambo yake na baada ya miaka 10 iitishwe kura ya maoni.
Kobello
Mwisho, Mfuko wa pamoja hauhitaji idadi ya serikali kuongezeka ama kupungua. Tunaweza unda mfuko wa pamoja ktk seirklai 1 2 ama 3 isipokuwa tutazame nini haswa tulipotaka kuelekea ktk Muungano wetu ambao hauhusiani kabisa na wingi wa serikali bali UMOJA wetu na mshikamano. Sidhani kama serikali 3 ni suluhisho la kuunda mfuko wa pamoja ila ni kuleta matatizo mengine ambayo hayakuwepo.
Mkuu nakubaliana sana na serikali 1 lakini je hatutaimeza Zanzibar maana tayari hili neno lipo midomoni mwa watu na linaweza kuzua balaa baadaye. Inavyoonyesha kuunda serikali moja ni kama tunawalazimisha wananchi ambao kwa fikra zao ni kutogawana umaskini. nadhani umewahi kuona familia zetu zikigombania mirathi ukiwaambia mali iwe ya wote tugawane kazi kisha tugawane mapato, basi kila mmoja hata muamini mwenziwe kushika hatamu. Waafrika kiasili hatuaminiani!Mkuu that is a fact, ndio maana ukiangalia post zangu zote mimi naelekea zaidi kwenye serikali moja ya Tanzania. Mara kadhaa nimesikia serikali ya Zanzibar inaomba hela kwa Bakhresa kulipa mishahara wafanyakazi wa serikali, hii inaonesha kabisa kuwa bado hakuna uwezo wa kuendesha serikali makini.
Mfuko wa pamoja ni Federal taxes revenue (mapato ya kodi ya Serikali kuu) wananchi watakuwa wakichangia mifuko miwili - wa nchi na ule wa Taifa, hivyo ningekuomba usome ama google neno Federal tax revenue kwa nchi nyinginezo utapata majibu yote maana mimi sii mwandishi mzuri sana.•Mfuko wa pamoja baina ya Nani na Nani?
•Mfuko wa pamoja nia yake ni kitu gani?
• Mfuko wa pamoja unaelezwa vipi kwa Mujibu wa Sheria?
Katika mfuko wa pamoja, ebu tufanyie mchanganuo wa:
1. Mapato.
2. Matumizi.
3 Mgawanyo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mfuko wa pamoja ni Federal taxes (kodi za Serikali kuu) hivyo ningekuomba usome ama google neno kwa nchi nyinginezo utapata majibu yote maana mimi sii mwandishi mzuri sana.
Mkuu wangu sasa unataka kunambia mnataka serikali 3 pasipo kujua kwamba kuna lazima ya serikali kuu kuwa na mfuko wa pamoja kutokana na kodi zetu? Yaani serikali 3 pasipo kujua gharama zake kwa wananchi ndio maana mnabisha au?Kweli haya ni majibu serious kwa suala serious from mtu serious mkandara?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapanaa! hujajibu swali la msingi mkuu. Na hapa ndipo huwa nawa admire wewe na Kobello, ni mafundi wazuri sana wa kukwepa core issue na kuongelea futureMfuko wa pamoja ni Federal taxes revenue (mapato ya kodi ya Serikali kuu) wananchi watakuwa wakichangia mifuko miwili - wa nchi na ule wa Taifa, hivyo ningekuomba usome ama google neno Federal tax revenue kwa nchi nyinginezo utapata majibu yote maana mimi sii mwandishi mzuri sana.
Swali lipo hapo juu, kwanza tujue kwa S2 mfuko huo unafanyaje kazi ili tushawishike kuwa hakuna sababu za S3? Mfuko umelalamikiwa kuwa haufanyi kazi. Upo kumbuka hivyo tunaongelea hali ya sasa na wala si S3.Mkuu wangu sasa unataka kunambia mnataka serikali 3 pasipo kujua kwamba kuna lazima ya serikali kuu kuwa na mfuko wa pamoja kutokana na kodi zetu? Yaani serikali 3 pasipo kujua gharama zake kwa wananchi ndio maana mnabisha au?
Mkuu ima hakuelewa swali au ameelewa lakini ni katika spinning.Kweli haya ni majibu serious kwa suala serious from mtu serious mkandara?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nadhani hii issue ipo too complex kwako.Nilibishana sana na wewe kuhusu takwimu, na yanayozungumzwa na wataalam wengi, hata hao wajumbe wa tume ya katiba nadhani unayasikia ila sidhani kama itatosha. Nilibishana na wewe kwa mara ya kwanza kuhusu Dowans na yaliyotokea mlikaa kimya tu. Pia tulishaongea kidogo mambo ya gharama mkaahidi kuleta uzi special wa gharama baada ya bajeti kusomwa, sijui yameishia wapi?Mkuu ima hakuelewa swali au ameelewa lakini ni katika spinning.
Ni yale yale ya Kobello, nimemuuliza kuondoa mambo 15 katika muungano gharama gani zimeongezeka kwa TZ, nikajikuta naambiwa habari nyingine kabisa kuhusu climate change. I real admire these fox, ni wazuri sana wa spinning.
Mfuko huo sasa hivi hautendewi haki kwa sababu haupo. Na sababu za kutokuwepo siyo utatanishi, bali ni kushindwa kwa Zanzibar kuulipia.Zanzibar hawalipi hata umeme, sembuse 5% ya 3trilion? Huo mfuko ni hekaya za Abunuasi.Hapanaa! hujajibu swali la msingi mkuu. Na hapa ndipo huwa nawa admire wewe na Kobello, ni mafundi wazuri sana wa kukwepa core issue na kuongelea future
Swali la msingi, mfuko wa pamoja kati ya nani na nani.
Halafu mfuko huo unaelezwajwe kwa mujibu wa sheria
Mtupe mchanganuo wa mapato, gharama na matumizi.
Mfuko huo ni wa S2 mnazopendekeza.
***Hapa hatuongelei future, mfuko upo ingaw haujafanya kazi. Hivyo tuelezeni katika mazingira hayo ya S2 kwa kuogopa S3 mnautendeaji haki mfuko.
Kobello karibu ili usije sahau mabandiko yakapita, ukaunga kwa mbele
Mfuko huo sasa hivi hautendewi haki kwa sababu haupo. Na sababu za kutokuwepo siyo utatanishi, bali ni kushindwa kwa Zanzibar kuulipia.Zanzibar hawalipi hata umeme, sembuse 5% ya 3trilion? Huo mfuko ni hekaya za Abunuasi.
Hii mada msiiharibu kwa ushabiki wenu wa kisiasa, mmekuwa challenged wewe na Mchambuzi kwa takriban miezi mitatu sasa na mnbashindwa kutimiza ahadi zenu. Leteni thread yenu ya gharama na pia mtupe data Zinazosema watu wengi wanataka S3. Hayo mambo ya siasa si muda wake.
Mkuu nakuelewa sana mnachodai na majibu ninayo isipokuwa yanishangaza sana mtu anapouliza mfuko wa pamoja ndio nini wakati amedai serikali 3. Ni sawwa kabisa na kubishana juu ya mwezi halafu ukiambiwa mwezi unahitaji mwanga wa jua unauliza mwanga wa nini na kwa nini mwezi unahitaji mwanga! jamani hata kujua Federal government needs to collect taxes from both sides mnashindwa kujua mfuko wa nani na nani wakati Lipuymba ndiye aloshauri na mnamuunga mkono? na mnajua fika kwamba Federal Government ndiyo serikali ya Muungano?.Hapanaa! hujajibu swali la msingi mkuu. Na hapa ndipo huwa nawa admire wewe na Kobello, ni mafundi wazuri sana wa kukwepa core issue na kuongelea future
Swali la msingi, mfuko wa pamoja kati ya nani na nani.
Halafu mfuko huo unaelezwajwe kwa mujibu wa sheria
Mtupe mchanganuo wa mapato, gharama na matumizi.
Mfuko huo ni wa S2 mnazopendekeza.
***Hapa hatuongelei future, mfuko upo ingaw haujafanya kazi. Hivyo tuelezeni katika mazingira hayo ya S2 kwa kuogopa S3 mnautendeaji haki mfuko.
Kobello karibu ili usije sahau mabandiko yakapita, ukaunga kwa mbele
Mkuu ikiwa kila nchi itachangia mfuko huo kwa tuseme asilimia 20 tu ya pato la kila upande ili kuiwezesha serikali ya Muungano kukabiri matumizi yake. Unadhani hili ni hadith kweli wakati Tanganyika yetu yenyewe inategemea misaada kukidhi matumizi yake? nasikia mwaka huu matumizi ya ndani yamefikia mikopo ya asilimia 60 kweli hiyo asilimia 40 inayokusanywa inaweza kuendesha mambo ya ndani ya serikali ya Tanganyika bila kukopa!, watu wenyewe hawa wenye ma VX na mishahara ya millioni 12 kwa mbunge na posho juu. Lets be realistic...Sababu juu ya kwanini mfuko wa pamoja haufanyi kazi ni Kwamba ni Vigumu kutenganisha masuala ya Tanganyika na ya muungano. Kwa maana nyingine, mfuko wa pamoja ni hekaya za abunuwasi bila ya uwepo wa Tanganyika kwani ni impossible kubaini ya pamoja ni yepi na ya kila upande kivyake ni yepi chini ya serikali Mbili. Ni Vigumu kuelewa kwanini watu makini Kama wewe na Mkandara mnashindwa ona Hilo.
Na sasa, uwepo wa nchi Mbili serikali Mbili Ndio umeua Kabisa hata hiyo ndoto ya joint finance commission. Nyinyi Hali hii inazidi kuwapa matumaini Kwamba JFC can work, na pia Kwamba serikali moja inawezekana, na several other impractical and utopian views.
Uzi wa gharama tulio ahidi upo pale pale, hakuna kilichobadilika zaidi ya suala la timing kutokana na mchakato mzima wa BLK kuingia nyongo. Vinginevyo maandalizi yapo pale pale na Uzi utapanda ndani ya siku Tatu na utaweka sawa masuala mengi ambayo mmekuwa mnayakwepa Kama sio kuyapotosha.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama alivyo sema Nguruvi3, mna uhodari wa kurukia hoja kwa Mbele; nimeuliza maswali ya msingi kwenye Bandiko #145 , mmeyahepa, sasa tutarajie mjadala gani wa maana kuhusiana na joint finance account?Mkuu ikiwa kila nchi itachangia mfuko huo kwa tuseme asilimia 20 tu ya pato la kila upande ili kuiwezesha serikali ya Muungano kukabiri matumizi yake. Unadhani hili ni hadith kweli wakati Tanganyika yetu yenyewe inategemea misaada kukidhi matumizi yake? nasikia mwaka huu matumizi ya ndani yamefikia mikopo ya asilimia 60 kweli hiyo asilimia 40 inayokusanywa inaweza kuendesha mambo ya ndani ya serikali ya Tanganyika bila kukopa!, watu wenyewe hawa wenye ma VX na mishahara ya millioni 12 kwa mbunge na posho juu. Lets be realistic...
Je, mnaamini hiyo serikali ya Muungano unategemea kweli inaweza kujiendesha kwa kutegemea Ushuru usiokuwa wa kodi kuwa itatosha? Kama haitoshi fedha zitoke wapi.. na nai mwenye kugharamia, hata takwimu nilizobandika hapo nyuma inaonyesha ni nmchango mdogo sana kwa Tanganyika, iwe leo nguzo ya kuendesha serikali kuu!.
Ama mnachosema hakuna haja ya serikali ya Muungano na hivyo hatuhitaji federal taxes? yaani tuvunje jahazi tugawane mbao? na kama ndivyo mnataka hizo serikali 3 za nini ikiwa tutagawana mbao?
Ni hivi, unajaribu kukwepa swali kwa kuweka mambo yasiyohusika. Unaweka hoja isiyokuwepo.Mkuu nakuelewa sana mnachodai na majibu ninayo isipokuwa yanishangaza sana mtu anapouliza mfuko wa pamoja ndio nini wakati amedai serikali 3
jamani hata kujua Federal government needs to collect taxes from both sides mnashindwa kujua mfuko wa nani na nani wakati Lipuymba ndiye aloshauri na mnamuunga mkono? na mnajua fika kwamba Federal Government ndiyo serikali ya Muungano?.
Sawa sawa kabisa Mkuu. Kumbe unakubali kabisa kuwa gharama za sasa za S2 Mtanganyika amezibeba. Sasa pale Mtanganyika anapotaka kupunguza gharama unasema zinaongezeka. Vipi hapo?Mfuko huo sasa hivi hautendewi haki kwa sababu haupo. Na sababu za kutokuwepo siyo utatanishi, bali ni kushindwa kwa Zanzibar kuulipia.Zanzibar hawalipi hata umeme, sembuse 5% ya 3trilion? Huo mfuko ni hekaya za Abunuasi.
Hivi ndugu yangu, kwani nani amelalamika sana kuhusu kutotendewa haki katika muungano?Nimeingilia Mada Lakini SERIKALI ya Tanganyika LAZIMA itaongeza Gharama Zingine tu!!!!
Hilo lipo Wazi, Kwani Lazima ianzishe TAASISI za KIUTAWALA ktk Eneo Lake na Hili Litainvolve AJIRA za Watendaji Hawa , MISHAHARA YAO , NYUMBA ZA KUISHI, OFISI, VITENDEA KAZI,MAGARI NK NI GHARAMA Kubwa.
Zanzibar Hivi Sasa Makusanyo ni BILIONI 300 na , Mahitaji ni BILIONI 700 approx.
Leo tu Haijimudu na Nakisi inajazwa kwa Ruzuku, Sasa ikabaki peke Yake, kwanza Itajitosheleza Vipi Yenyewe, Halafu IJE Changia hiyo ya MUUNGANO ??????
Tusifikiri kwa Jazba na KUTETEA KISIASA Haya ni Mambo ya KIUCHUMI na Pressure za KIUCHUMI zinaweza Kuleta Mifarakano ya KISIASA, Mfano ni EAC ya Zamani , EU Malumbano ya EURO Baadhi ya Nchi zikitushia Kujitoa.
Ukiwapata Kina " YELTSIN" wetu Ambao kwao Sifa za Kushangiliwa Majukwaani Zimewapofusha Uwezo wa Kufikiri Vizuri na WANAROPOKA KILA WAWEZALO WAKIWA JUKWAANI Na Kutoa Matumaini MFU ILI Mradi hiyo inawaongeze Makofi kwa Baadhi ya WANANCHI na KujitengenezeA image ya PAPER WARRIORS Nchi na MUUNGANO una kwenda KUZIMU