Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,305
- 33,765
Hii ndio hoja ya Mkandara kuwa znz haiwezi kupewa misaada na mikopo .Between:
1. trade
2. Foreign direct investment
3. Aid
Kipi ni bora kwa taifa? Katika yote haya, aid ni kitu cha mwisho kukipigania, unachohitaji ni more trade and investments. Sijui kwanini Watu wanapoteza muda kujadili AID kitu ambacho hakuna case study in Africa Kwamba ilisaidia taifa kujikwamua kiuchumi. Aid is beneficial only to tyrants na ndicho Wanasiasa ZnZ wanachotaka.
Tena akieleza vyanzo vya mapato, Mkandara kaliorodhesha hili kama eneo muhimu sana. Msome hapo juu
Mkandara anasema mikopo nayo ni sehemu ya mapato, na anadai znz kutopewa fursa ya kukopa ni jambo baya sana sana sana.
Msaada ni kudhalilika, kukopa ni kudhalilika lakini watu wanaona fahari, wanasema znz inakosa fursa hizo!!!! fursa za mikopo
Nipo katika rekodi nikimwambia kuongelea misaada na mikopo ni udhalili wa hali ya juu sana.
Mkandara anasema huo ndio mchango wa znz katika muungano.
Nimemuuliza nje ya muungano znz itapata kwa kadri yake. Kwasasa wanapata 4.5% ya Trilioni 12 ambazo hawana mchango hata senti tano yaani pato la Tanganyika.
Hiyo ni zaidi ya nusu ya pato lao la mwaka. Mkandara hataki kuliona hilo anaamini ili znz iwe bora lazima iwe na kiti IMF, WB ili iweze kukopa. Kwa akina Mknadara na wazanzibar, kuwa na bendera IMF,WB ni fahaari kubwa saana.
Yaani kukopa na misaada ipo katika mawazo ya wznz na Mkandara kuliko njia za kujikwamua. Wanaamini kabisa mikopo na misaada ni neema, tena ukiangalia znz ndipo utashangaa kabisa, asset za kukopa zipo wapi? Yaani vituk
Dambisa Moyo kawaeleza vizuri sana wazungu na Waafrika kuhusu misaada.
Imefiaka mahali watu wanaorodhesha mikopo kama income, wanaorodhesha misaada kama income! teh te teh teh.
Mi nikisoma mikopo na misaada ya akina Mkandara huwa napata shaka kama kweli fikra zetu zitabadili taifa hili.
Ningeweza kuwapa benefit of doubt wavuvi na wakwezi wa znz kuhusu hili, nashangaa Mkandara anaandika kutoka majukuu na kuungana na hao wavuvi na wakwezi regardless of his exposure. duh!