Inaelekea bado kidogo kwenye mambo ya serikali.Hivi Kobello, ukimwita waziri mkuu Rais wa Tanganyika utakuwa umeongeza gharama gani? Ukiita wizara ya kilimo, afya, ujenzi n.k. wizara za Tanganyika utakuwa umeongeza gharama gani?
Judicial system itakayoongezeka ni ipi na kwa sasa iinahudumiwaje? Hapa lazima ueleze unafuu uliopo ukilinganisha na unaotarajiwa.
Administrative cost za idara mpya ni zili? Kwasasa tuna mambo 22 ambayo kiidara ni 47.
Hivi ukiwa na mambo 7 utakuwa na idara nyingi au pungufu?
Na idara za sasa zinahudumiwaje ili kusema gharama zake ni nafuu?
Kama S1 haiwezekani, S2 zinawezakanje kukiwa na dhana ya Tanganyika kuvaa koti?
Mkuu utaka serikali 3 bila mfuko wa pamoja? Hivi hiyo serikali ya 3 unategemea itaendeshwa vipi au huelewi serikali zinaendeshwa vipi? Mimi sidhani kama wewe unajua tofauti zilizopo baina ya kuwa na serikali 1, 2 au 3.Wazo la mfuko wa pamoja ni matokeo ya tume ya Amina Salum si tume ya Warioba, FYI
Mkuu hapa hujaonyesha zinazongezeka ila una hisia zintaongezeka.Inaelekea bado kidogo kwenye mambo ya serikali.
Waziri mkuu wa Tanganyika ni jina tu la cheo na aina ya mamlaka. Hii haimaanishi kuwa "Execution of legislations" itakuwa eliminated. Kwa mfumo wa sasa hivi, waziri mkuu ni sehemu ya Executive branch.
Waziri mkuu Mizengo Pinda gharama zake zipo chini ya rais. Madaraka yake na kazi zake anapangiwa na Rais. Ni mtumishi mmoja tu ambaye amepewa baadhi ya wafanyakazi wa "Executive Branch wawe chini yake". Ukimuondoa Rais, haimaanishi kuwa hakutakuwa na kiongozi wa juu atakayekuwa na watumishi wanaosimamia "Executive Branch" ya Tanganyika, be it The Prime Minister or The President.
The same goes to the Judicial System. Tanganyika will have her own judicial system and the union will have her own courts too. Kutakuwa na mahakama kubwa ya muungano kwa kila mahakama ndogo. mahakama ya juu itakuwapo ya muungano na ya Tanganyika(Kama ambavyo Zanzibar ina zake) na mahakama, ili kupunguza mzigo na kuongeza ufanisi sitashangaa kama kutakuwa na Kanda kwa mahakama za Muungano. Rais wa muungano lazima atakuwa na Majaji wake kwenye masuala mbalimbali. natabiri mkaraganyo mkubwa kwenye mahakama za Biashara, katiba, na mabo ya maritime.
Tanganyika lazima itakuwa na SUMATRA/TRA/ na other regulatory bodies zake independent of the Union government.
Mkuu usipende kuweka sana siasa na kufuata maneno ya wanasiasa, gharama za uendeshaji ni lazima zitaongezeka, panga pangua. hata rasimu inalikubali hilo.
Kupunguza mawaziri ni dhana ya kitoto sana kwa sababu mambo yanayohitaji mkono wa serikali yatabaki palepale. Mambo ya kilimo, Elimu, CommWorks etc... lazima pia yatakuwa na idara zake Tanganyika na Muungano.
Uliahidi kuleta uzi humu lakini nadhani umesahau. tujaribu kujenga serikali bandia, uone jinsi gharama zitakavyoongezeka. Kelele tu hazitasaidia lolote.
Kobello,
Kuna upotoshaji wa hoja juu ya gharama za kuendesha serikali tatu kwa Madai Kwamba eti zitakuwa kubwa sana kutokana na nchi kuwa na marais watatu - rais wa zanzibar, tanganyika na muungano. Maswali kwa wajenga hoja hii:
*Nani kasema kutakuwa na marais watatu?
*Kwanini hili linajengewa hoja wakati hata katiba mpya bado haijaandikwa?
*Je, ccm imeshaamua aina ya uongozi utakaukuwepo chini ya serikali Tatu iwapo itatokea hivyo?
Swali la Tatu hapo juu tayari Lina majibu kwani CCM na vibaraka wao Dodoma ni Kama sasa wamegeuka kuwa wendawazimu kwani muda sio mrefu walikuwa wanajenga hoja ya gharama za marais watatu, Leo Zipo taarifa za uhakika Kwamba Kamati zao zimependekeza kuwe na makamu marais watatu: wa kwanza ni mgombea mwenza wa rais wa muungano, mwingine ni kumfanya rais wa znZ kuwa pia makamu wa rais, na pia waziri mkuu wa bara awe pia ni makamu wa pili rais. What a joke!
Huu ni wendawazimu kwani miezi kadhaa iliyopita, makada Hawa Hawa Walijenga hoja kwamba tutakuwa kituko kwa dunia kwa kuwa nchi moja yenye marais watatu.
Hii hoja haina mashiko kwani mfumo wa serikali mbili tayari umewachekesha wenzetu wa nje kwa miaka mingi, lakini hili la katiba ya JMT kuvunjwa na zanzibar 2010 ndio limewamaliza kabisa mbavu.
Fine, tuseme basi kiongozi wa Tanganyika ataitwa Rais, ni cha ajabu hapo?
Kwa miaka 50 nchi yetu imekuwa na marais wawili, sasa ajabu ya marais watatu itakuwa ni ipi, tena bila ya kiini macho bali mfumo wa shirikisho?
Kama alivyojadili Nguruvi3 kwenye Uzi mwingine, rais wa zanzibar kwa miaka mingi ameleta tu usanii ndani ya muungano, na kuanzia 2010 baada ya katiba mpya rais wa zanzibar ataleta balaa ndani ya muungano wa serikali mbili, kwanini ccm haisemi rais wa tatu ataleta balaa lipi?
Kama mmoja wa washirika wa muungano, zanzibar kwa sasa ina rais, na makamo wawili wa rais, na kama mshirika mwingine wa muungano (Tanzania bara) ipo chini ya Rais wa muungano ambae yeye pia ana makamu wake na pia yupo waziri mkuu, jamani, mbali ya gharama kubwa, hatuoni kwamba tunafanya michezo ya kitoto?
CCM imekuwa ni chama cha ajabu sana, na marehemu kolimba aliona hili kwa kusema kimekosa dira na mwelekeo, na kauli ya Kolimba inakiandama CCM leo kwa mfano ufuatao:
CCM kwani kwa upande mmoja, kinahubiri suala la gharama kubwa zitazotokana na serikali tatu na marais watatu, pia ni chama kinachohubiri kwamba mfumo huu utaleta mgongano wa madaraka. Lakini kwa upande mwingine, CCM hii hii ndio iliyoamuru zanzibar iwe na makamu wawili wa rais na ndicho chama kilichoamuru uwepo wa marais watano (makamu wa rais ni rais tu) - rais wa jmt (jakaya) makamo wa rais JMT (bilal), rais wa znZ (shein) na makamo wake wawili (seif iddi na maalim Seif).
Na Huko Dodoma Jana, wendawazimu wamependekeza makamu wa rais Wengine wawili, kwa maana hii, kwa ujumla, Katika muungano kutakuwa na rais wa muungano, rais wa Zanzibar, makamu wawili wa rais znZ (Kama alivyo maalim Seif na balozi seif iddi); rais wao (shein) atakuwa makamu wa rais wa muungano, lakini hapo hapo kutakuwa na makamu wa rais mgombea mwenza, na vile vile waziri mkuu atakuwa ni makamu wa pili wa rais. Huu ni uchizi na ni laana ya kuwatusi wazee wetu kina warioba.
Sent from my iPhone using JamiiForums
wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na rais wa jamhuri ya Muungano, na makamu wake wa kwanza alikuwa pia rais wa Zanzibar (Karume na Jumbe) na makamu wa pili aliikuwa kwa ajili ya mambo ya bara (Marehemu Rashid kawawa). Tulikwenda na mundo huo hadi tuipoanzisha vyama vingi ndio habari ikavurugika.Tatizo siyo idadi ya marais au mawaziri. Tatizo ni ukubwa wa serikali na siyo idadi ya marais/mawaziri.
Serikali ya Zanzibar ina gharama zake pia na ina makusanyo yake, hilo unaweza kulilalamikia au Wazanzibari wenyewe wanaweza kulilalamikia.
Kwa mfano kuna Environmental Protection Agency ambayo ni Idara ya Serikali kuu ya Marekani na ina bajeti na nguvu kubwa tu. KwaTanzania kitu kama hicho kipo chini ya VP'S office na kina watumishi wengi tu.Watumishi hao wa VP's office unaweza kudhani kuwa wapo tu kula posho, lakini ni wataalam ambao wangeweza kuwa na Director wao na kuwa independent government institution au wakawa chini ya Wizara ya Ardhi/maliasili. Whatever the case, utakachobadili ni uongozi wajuu tu(VP) na hiyo siyo issue ambayo inaweza ku-skew parabolas za matumizi ya idara hiyo.
Idara hiyo hiyo inaweza ikawa chini ya rais/PM or whatever, ila wale wafanyakazi bado watahitajika kutengenza na kuzifanyia kazi sera za Mazingira. Na Tanganyika ikianzishwa pia itahitaji wafanyakazi kama hao (forget the leaders).
Pia kuna chombo kamaTRA. Union itakuwa na yake, na Tanganyika itakuwa na yake .... bila kugawana wafanyakazi. Wala usitake kufikiria kuwa utaifanya customs ndiyo iwe ya muungano na nyingine ziwe za Tanganyika, No!!! Utahitaji Treasury ya Tanganyika na ya muungano pia, bila kugawa wafanyakazi etc, etc...
Kuhusu CCM na ukichaa wao, mimi sidhani kama niposana interested namambo ya vyama kwa namna hiyo. Ila kama tunazungumzia concept ya Gharama, mawaziri namakamowa marais siyo kinachozungumziwa, bali taasisi nzima mpya zinazohitaji kuundwa.
Huu ni wendawazimu kwani miezi kadhaa iliyopita, makada Hawa Hawa Walijenga hoja kwamba tutakuwa kituko kwa dunia kwa kuwa nchi moja yenye marais watatu.
Hii hoja haina mashiko kwani mfumo wa serikali mbili tayari umewachekesha wenzetu wa nje kwa miaka mingi, lakini hili la katiba ya JMT kuvunjwa na zanzibar 2010 ndio limewamaliza kabisa mbavu.
Kama mmoja wa washirika wa muungano, zanzibar kwa sasa ina rais, na makamo wawili wa rais, na kama mshirika mwingine wa muungano (Tanzania bara) ipo chini ya Rais wa muungano ambae yeye pia ana makamu wake na pia yupo waziri mkuu, jamani, mbali ya gharama kubwa, hatuoni kwamba tunafanya michezo ya kitoto?
CCM imekuwa ni chama cha ajabu sana, na marehemu kolimba aliona hili kwa kusema kimekosa dira na mwelekeo, na kauli ya Kolimba inakiandama CCM leo kwa mfano ufuatao:
Na Huko Dodoma Jana, wendawazimu wamependekeza makamu wa rais Wengine wawili, kwa maana hii, kwa ujumla, Katika muungano kutakuwa na rais wa muungano, rais wa Zanzibar, makamu wawili wa rais znZ (Kama alivyo maalim Seif na balozi seif iddi); rais wao (shein) atakuwa makamu wa rais wa muungano, lakini hapo hapo kutakuwa na makamu wa rais mgombea mwenza, na vile vile waziri mkuu atakuwa ni makamu wa pili wa rais. Huu ni uchizi na ni laana ya kuwatusi wazee wetu kina warioba.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Have you ever heard Mr. Polepole talking about cost-sharing in the newly proposed federal government? I quote,Kwa wanaosema serikali 3 zitakuwa gharama inabidi tuelezane ukweli. Kwa maoni yangu gharama zitaongezeka kwa watu wa Zanzibar kwa sababu wataanza kulipia mambo mengi ambayo kwa sasa yanalipiwa na walipa kodi wa bara. Definately kwa Zanzibar kulipia jeshi, polisi, usalama, na kutovuna pesa kutokana na wao kufanya kazi bara kama vile kuwa bungeni kukaa tu na kukusanya fedha itakuwa gharama.
Kwa bara itakuwa vizuri, mambo mengi anayoorodehsa nguruvi3 kila kukicha tutaacha kuyalipia. Kama tutakuwa na rais wa JMT, na mkuu wa Zanzibar na na mkuu wa Bara tutakuwa na rais mmoja tu wa nchi, na wakuu wawili wa sehemu mbili zinazounda nchi, PM anaweza kuwa mkuu wa bara, na Zanzibar waziri kiongozi anaweza kuwa mkuu wa Zanzibar, akaendesha mambo yote yanayohusu kisiwa. Hii itakuwa ni serikali moja, gharama kwa serikali ya JMT hazitaongezeka.
tusiwe obsessed na majina ya wataoongoza serikali za bara na visiwani.
Mkuu nilichosema n kukusahisha tu kuwa wazo la MFUKO WA PAMOJA lilianzia tume ya Amina Salum na si Warioba kama ulivyosema. Ndiyo maana niliweka neno hili FYI. Kanisome tena ukiwa calm and collectedNguruvi3,
Mkuu utaka serikali 3 bila mfuko wa pamoja? Hivi hiyo serikali ya 3 unategemea itaendeshwa vipi au huelewi serikali zinaendeshwa vipi? Mimi sidhani kama wewe unajua tofauti zilizopo baina ya kuwa na serikali 1, 2 au 3.
Kobello, kwanza elewa kwa mfumo wa S2 tunalipa gharama hizo 100%. Si kuwa znz hawawezi, bali hawataki tu kwa kusema hakuna account ya pamoja. Upuuzi huo some can buy, intelligent people will never talk about it.Have you ever heard Mr. Polepole talking about cost-sharing in the newly proposed federal government? I quote,
"Wazanzibari wakishindwa kulipia gharama za muungano, watanganyika inabidi wawasaidie!!, hii ipo kwenye rasimu hii", holding the new constitution draft amid a deafening applause.
Now tell me the possibility of that happening.
Have you ever heard Mr. Polepole talking about cost-sharing in the newly proposed federal government? I quote,
"Wazanzibari wakishindwa kulipia gharama za muungano, watanganyika inabidi wawasaidie!!, hii ipo kwenye rasimu hii", holding the new constitution draft amid a deafening applause.
Now tell me the possibility of that happening.
Pili, katika S3 znz itakuwa na vyanzo vyake ikiwa ni pamoja na uwezo wa kukopa na misaada.
Hapana rasimu imesema nchi washirika zitaruhusiwa kukopa na kuingia mikataba na mashirika au taasisi za kimataifa. Endapo JMT itahitaji basi itasaidia kwa hilo.Katika mfumo wa S3, natarajia atakayeruhusiwa kukopa ni JMT pekee, au haitakuwa hivyo? Kwani JMT ndiyo itakuwa mwanachama katika mashirika ya kimataifa na ndiyo yenye kuhusika na Fedha na Mambo ya Nje?
Katika mfumo wa S3, natarajia atakayeruhusiwa kukopa ni JMT pekee, au haitakuwa hivyo? Kwani JMT ndiyo itakuwa mwanachama katika mashirika ya kimataifa na ndiyo yenye kuhusika na Fedha na Mambo ya Nje?
They say they can manage themselves. Kama wakishindwa kulipia gharama za muungano maana yake ni kuwa hawawezi muungano, au wakubali kusiwe na serikali Zanzibar bara igharamie kila kitu.