Mkuu umesema wewe upo ndani ya chaki. Nadhani ulipoandika bandiko hili ulifungia chaki kabatini.Kuhusu wabunge wa Zanzibar kuwa 20 ... unachekesha sana tena sana!! ... hao jamaa ni kama 50% ya wabunge wote kwa sababu hakitapita kitu chochote bila 2/3rd yao kukubali. Usijidanganye, hiyo ni 50/50 kwenye bunge la muungano. na wala msijaribu kuanzisha lower house kwa sababu wanaweza kugawa majimbo yao kwa kutumia mitaa na msifanye chochote kile. LOL that Draft has a lot of holesto be filled.
Hocus pocus !Tume iliundwa na nani na kwa nini? Si CCM ndio waliongoza mchakato. Kama wana uhakika wa S2 kwanini wasingeacha taratibu ziendelee ili kura ya maoni itungue rasimu ?Mkandara;10369929]Mkuu wangu hakuna kosa kabisa isipokuwa mnaomba lisilowezekana, sijui kama mnanielewa. maadam hili haliwezekani kupitia maridhiano na CCM kwa nini msikubali hilo la serikali 2 kisha katiba iandikwe halafu wananchi waje kuzikataa hizo serikali 2 maana sababu zote zimekwisha semwa na wananchi wanajua wao wanataka nini. Kama mna hakika kabisa kwamba wananchi wanataka serikali 3 basi waachieni wao waamue huko mbele. Kugoma kuendelea inadhihirisha UKAWA hawana hakika ya wananchi isipokuwa hili ni swala la kisiasa zaidi.
Mkuu wangu hakuna kosa kabisa isipokuwa mnaomba lisilowezekana, sijui kama mnanielewa. maadam hili haliwezekani kupitia maridhiano na CCM kwa nini msikubali hilo la serikali 2 kisha katiba iandikwe halafu wananchi waje kuzikataa hizo serikali 2 maana sababu zote zimekwisha semwa na wananchi wanajua wao wanataka nini. Kama mna hakika kabisa kwamba wananchi wanataka serikali 3 basi waachieni wao waamue huko mbele. Kugoma kuendelea inadhihirisha UKAWA hawana hakika ya wananchi isipokuwa hili ni swala la kisiasa zaidi.
sasa mnapokataa na kugoma kwa sababu ya tanganyika inatuweka pabaya zaidi kwa sababu katiba Mpya haitaandikwa na haitawafikia wananchi hivyo BLK litalazimika kutunga sheria nyinginezo ambazo ni za uchaguzi 2015 na kwa ajili yao wanasiasa, sisi nwananchi tutabakia na muundo wa serikali 2 na madudu yote ya katiba iliyopo ambayo kwanza haina miiko wala Maadili ya Uongozi na kibaya zaidi tutaendelea na wakuu wa mikoa wilaya, Tiss na Polisi kuendelea kuwa vombo cha chama tawala na nguvu kubwa ya rais pale pale - Tumefanya nini? Sii mnadai katiba hii ni ya wananchi kwa nini hamuwapi nafasi wao wafanye maamuzi wanataka serikali gani mana hta haya mabadiliko sura ya uchaguzi sidhani kama ni yatahitaji ridhaa ya wananchi.
Pasipo katiba mpya msitegemee kabisa kwamba CCM wataondoka madarakani maana iliyopo inawapa nafasi kibao za kugeuza kila kitu hata matokeo japo hao UKAWA wanafikiri wataweza kuhakikisha Uchaguzi huru unapatikana. Hilo tusahau..na najisikia vibaya zaidi tunapopigania tanganyika kwa sababu ya Wazanzibar ambao kwao mimi naiona hoja yao kuwa ya maana kabisa na rahisi kabisa kuimaliza kwani taabu iko wapi?.
Hizi ndio hekima na Busara tunazozungumzia kila siku.. fikiria mbali zaidi ya marefu ya mkono.
Hili la lower na upper house tumeliongea sana siku za nyuma...
..hata CCM sasa hivi wanahangaika na kujitutumua lakini mapendekezo wanayokuja nayo yanaangukia kwenye serikali 3[tanganyika, zanzibar, muungano]. pendekezo mojawapo tulilosikia toka kwa wana CCM walioko bunge la katiba ni kuwepo kwa lower house[bunge la tanganyika] na upper house[bunge la muungano]. sasa katika mazingira hayo kwanini isiundwe serikali ya tanganyika
Mkuu shukran sana unapokuja na hoja badala ya hawa jamaa zangu hoja yao ni kina Mkandara tunasema nini wakimaanisha mimi na CCM wakati hili sii swala langu mimi wala la CCM ila la wananchi wote na tunaitaka katiba Bora na sii vinginevyo...tunataka kitu kilicho bora.
..mimi nadhani kulazimisha hizi 2 wakati zimetuletea matatizo na migogoro kwa miaka arobaini siyo busara hata kidogo.
..hebu fikiria ni kamati na tume ngapi zimeundwa kuchunguza matatizo ya serikali 2 na gharama[rasilimali na muda] tulizotumia?
..unless unataka kuvunja muungano, lakini kila aliyetafuta namna ya kuunusuru muungano wetu, ameishia na pendekezo la serikali 3[tanganyika, zanzibar, muungano].
..hata CCM sasa hivi wanahangaika na kujitutumua lakini mapendekezo wanayokuja nayo yanaangukia kwenye serikali 3[tanganyika, zanzibar, muungano]. pendekezo mojawapo tulilosikia toka kwa wana CCM walioko bunge la katiba ni kuwepo kwa lower house[bunge la tanganyika] na upper house[bunge la muungano]. sasa katika mazingira hayo kwanini isiundwe serikali ya tanganyika?
..wapo wanaodai serikali 3 ni gharama. lakini mimi kwa uelewa wangu hata serikali 2 nazo ni gharama. sasa kama tatizo ni gharama mbona hakuna pendekezo hata moja tulilosikia la kupunguza gharama katika hizi serikali 2 tulizonazo??
cc Mchambuzi, Nguruvi3, Mag3
Soma vizuri 105(3) na (4) halafu uniambie kitakachoizuia serikali ya Zanzibar kufanya kila mtaa kuwa wilaya na pia uniambie hiyo 20 umeitoa wapi?? Je, kukiwa na wilaya 40 Zanzibar mtafanya nini?Mkuu umesema wewe upo ndani ya chaki. Nadhani ulipoandika bandiko hili ulifungia chaki kabatini.
Hoja ya Mag3 ni kuwa kwasasa Tanganyika inalipia wabunge 81 kutoka znz.
Rasimu inasema hakuna cha wabunge wa BLW au JMT. Kutakuwa na mbunge mmoja tu kwa jimbo.
Kwa mujibu wa rasimu wabunge wa znz ni 20. Kwasasa tunahudumia 81.
Ukiondoa 60 unapunguza zigo kwa Mtanganyika.
Sasa wakiwa 81 bado ni 2/3. Wakiwa 20 bado ni 2/3. Kwa weledi usiohitaji chaki, kuwa na 20 ni bora kwa gharama.
Matokeo ya 81 au 20 ni 2/3. Gharama ndizo zinabadilika mkuu.
Mimi sintokwenda huko ila najaribu kuwaelewa hawa jamaa maana wanazungumzia ya zanzibar tu. Hivi kutokana na msemo wa Nguruvi3 hapo juuSoma vizuri 105(3) na (4) halafu uniambie kitakachoizuia serikali ya Zanzibar kufanya kila mtaa kuwa wilaya na pia uniambie hiyo 20 umeitoa wapi?? Je, kukiwa na wilaya 40 Zanzibar mtafanya nini?
Kuhusu 2/3, hivi ni wabunge wangapi wa Zanzibar wanaotakiwa kupitisha bajeti au kutoa/kubadili matumizi ya consolidated fund? Kupitisha sheria yeyote zaidi ya Kubadilisha katiba?? two thirds ya Zanzibar ni kwenye mambo ya katiba. Kwa hiyo 2/3rd is not just 2/3rd ..... kwenye bunge la muungano lililopendekezwa 2/3rd ya Wazanzibari ni kwenye kila kitu ... it's like 50/50.
Gharama hazijabadilika Zanzibar au Tanganyika wana uhuru wa kuanzisha majimbo yao kadri wanavyotaka .... who knows we may have 200 Members of The Parliament, nani atawazuia?
Kwa hiyo mkuu mimi nadhani majitaka ni majitaka tu!, Waliozoea siasa za majitaka kama Mag3 HUWA WAKO TOO SUPERFICIAL,HAWAANGALII VITU IN DEPTH.
ya kwamba kutakuwa na mbunge mmoja kwa jimbo, je hiyo bara tuna majimbo mangapi?. Sio kusema kwamba utaondoa hao 60 wa Zanzibar lakini utaongeza wabunge wa majimbo ya Bara ktk seriklai hiyo na pia serikali ya Tanganyika itakuwa na wabunge wote wa majimbo yake yote!. Hivyo, kama ndivyo kweli rasimu inasema huku bara tutakuwa na wabunge wangapi in total wa serikali ya Tanganyika na serikali ya Jamhuri ambao wewe mwananchi utawalipia mishahara, Vx na posho zao juu, acha mbali vikao vya hayo mabunge mawili kuyagharamia.Hoja ya Mag3 ni kuwa kwasasa Tanganyika inalipia wabunge 81 kutoka znz.
Rasimu inasema hakuna cha wabunge wa BLW au JMT. Kutakuwa na mbunge mmoja tu kwa jimbo
Well, bunge la S3 kama shirikisho lina idadi ya wajumbe kutoka znz na Tanganyika ambao ni fixed. Kutakuwa na jumla ya 55 kwa mujibu wa rasimu.Soma vizuri 105(3) na (4) halafu uniambie kitakachoizuia serikali ya Zanzibar kufanya kila mtaa kuwa wilaya na pia uniambie hiyo 20 umeitoa wapi?? Je, kukiwa na wilaya 40 Zanzibar mtafanya nini?
Kuhusu 2/3, hivi ni wabunge wangapi wa Zanzibar wanaotakiwa kupitisha bajeti au kutoa/kubadili matumizi ya consolidated fund? Kupitisha sheria yeyote zaidi ya Kubadilisha katiba?? two thirds ya Zanzibar ni kwenye mambo ya katiba. Kwa hiyo 2/3rd is not just 2/3rd ..... kwenye bunge la muungano lililopendekezwa 2/3rd ya Wazanzibari ni kwenye kila kitu ... it's like 50/50.
Gharama hazijabadilika Zanzibar au Tanganyika wana uhuru wa kuanzisha majimbo yao kadri wanavyotaka .... who knows we may have 200 Members of The Parliament, nani atawazuia?
Kwa hiyo mkuu mimi nadhani majitaka ni majitaka tu!, Waliozoea siasa za majitaka kama Mag3 HUWA WAKO TOO SUPERFICIAL,HAWAANGALII VITU IN DEPTH.
Ipo stated wapi?? Soma vifungu nilivyokupa, halafu ndio ujadili.Well, bunge la S3 kama shirikisho lina idadi ya wajumbe kutoka znz na Tanganyika ambao ni fixed. Kutakuwa na jumla ya 55 kwa mujibu wa rasimu.
Kama sikosei znz watakuwa 20 na Tanganyika 75, sina uhakika lakini ni karibia na hapo.
Kilichotumika na tume ni kutumia wilaya zilizopo kufikia idadi. Hebu someni muelewe.
Haikusema wabunge watategemea kuongezeka kwa wilaya.Someni muelewe kwanza msikurupuke tu
Zanzibar inaweza kuwa na wilaya 600 baada ya hapo, hilo halitaongeza idadi yao katika Bunge la shirikisho kwasababu ipo stated.
.
OK baadaye kidogo nitadurusu tena na tena halafu tutajadiliana.Ipo stated wapi?? Soma vifungu nilivyokupa, halafu ndio ujadili.
Wajumbe watatoka kila mkoa Tanzania Bara na kila wilaya Zanzibar.
Hakuna neno fixed, na hakuna tarakimu yeyote iliyoandikwa kwenye vifungu hivyo vya katiba. hakuna idadi fixed iliyowekwa kwenye katiba kama unavyotaka kutuelewesha.
hakuna neno 20 wala hakuna neno 50 .... hizo ni tarakimu unazojaribu kuja nazo kwa kusikiliza midahalo, siyo zilipzopo kikatba. na hakuna nguvu ya kupanga majimbo na wilaya na mikoa kwa Serikali ya Muungano.
Mkandara atakueleza Kwamba ni udugu, umoja na mshikamano in a panafricanist fashion. Hakuna ubishi Kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar was a political union, nothing economical. Ndio maana hadi Leo, watetezi wake wanasimamia hoja za kisiasa kuliko kiuchumi. Swali linalofuata ni je: this political union - does it demonstrate a success story of panafricanist unity or it's failure? Jibu ni the later - it's failure. Why? Kwa sababu umetawaliwa zaidi na political mobilization kuliko economic calculations. And any successful union baina ya nchi is built on an economic foundation, political? Never, and there's hasn't been any case study of that nature.Nikuulize hiyo investment tunayofanya kwa hawa wadai ubalozi na IGP inatusaidia nini down the road.
Mkuu wangu Muungano wa nchi gani usiokuwa wa Political ama unazungumzia Jumuiya kama ya EAC na nchi za Ulaya maana hueleweki unaposimama. Nchi gani zimeungana kuunda Taifa moja na haikuwa Political na Kiuchumi?Mkandara atakueleza Kwamba ni udugu, umoja na mshikamano in a panafricanist fashion. Hakuna ubishi Kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar was a political union, nothing economical. Ndio maana hadi Leo, watetezi wake wanasimamia hoja za kisiasa kuliko kiuchumi. Swali linalofuata ni je: this political union - does it demonstrate a success story of panafricanist unity or it's failure? Jibu ni the later - it's failure. Why? Kwa sababu umetawaliwa zaidi na political mobilization kuliko economic calculations. And any successful union baina ya nchi is built on an economic foundation, political? Never, and there's hasn't been any case study of that nature.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyerere alijaribu, si unasikia ya znz kumlaani kila siku tena viongozi wake wakiwa kimya? Nani mwingine unaeoona ataweza?Tujenge serikali itakayo tukomboa waTz sio kwa kuwa s3 ama s2 (yaani kwa kuangalia ukubwa wake) bali ni kwa kangalia ufanisi na nguvu ya serikali hiyo katika kumkomboa Mtz.
Serikali ikiwa nI moja na watu wake ni Wtz hapo hakutakuwa na mimi Mzanzibari na wale ni Watanganyika ila itakuwa mimi Mtanzania na yule ni Mtanzania mwenzangu.
Tujenge taifa kwa upendo na sio vinginevyo
Mkuu wangu Muungano wa nchi gani usiokuwa wa Political ama unazungumzia Jumuiya kama ya EAC na nchi za Ulaya maana hueleweki unaposimama. Nchi gani zimeungana kuunda Taifa moja na haikuwa Political na Kiuchumi?
Mwambie hivi, Russia ilikuwa nchi moja. Choko choko za kuisambaratisha zilichagizwa sana na uchumi. Perostroika.Mkandara atakueleza Kwamba ni udugu, umoja na mshikamano in a panafricanist fashion. Hakuna ubishi Kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar was a political union, nothing economical. Ndio maana hadi Leo, watetezi wake wanasimamia hoja za kisiasa kuliko kiuchumi. Swali linalofuata ni je: this political union - does it demonstrate a success story of panafricanist unity or it's failure? Jibu ni the later - it's failure. Why? Kwa sababu umetawaliwa zaidi na political mobilization kuliko economic calculations. And any successful union baina ya nchi is built on an economic foundation, political? Never, and there's hasn't been any case study of that nature.
Mkuu unalazimisha vitu visivyokuwepo hata kama tumeelezwa vizuri tu. hapakuwepo na Muungano isipokuwa muungano wa watu wake hata kabla ya Uhuru. Ni jinsi jamii hii ilivyo ndivyo tulivyounda Utaifa wetu kama kiswahili kilikuwepo hata kabla ya kukifanya lugha ya taifa, Muungano, katiba na sharia ni kuhakikisha jambo hilo linatambulika kimataifa na amrisho kwetu sote kutambua mipaka yake.Nyerere alijaribu, si unasikia ya znz kumlaani kila siku tena viongozi wake wakiwa kimya? Nani mwingine unaeoona ataweza?
Mbona hujaalani znz kujitoa katika muungano?
Nje ya chaki, ila hapo kwenye nyekundu....Mkandara atakueleza Kwamba ni udugu, umoja na mshikamano in a panafricanist fashion. Hakuna ubishi Kwamba muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar was a political union, nothing economical. Ndio maana hadi Leo, watetezi wake wanasimamia hoja za kisiasa kuliko kiuchumi. Swali linalofuata ni je: this political union - does it demonstrate a success story of panafricanist unity or it's failure? Jibu ni the later - it's failure. Why? Kwa sababu umetawaliwa zaidi na political mobilization kuliko economic calculations. And any successful union baina ya nchi is built on an economic foundation, political? Never, and there's hasn't been any case study.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu unazungumza vitu gani hapa. Kwani Germany haina Muungano wa nchi yake, Uingereza, Uswiss japo haimo, na kadhalika iweje leo wewe ufananishe Urusi na EU ama kusema ati NATO ni muungano wa nchi? Hiyo Marekani mshirika wa NATO anapakana vipi na nchi za Ulaya? Marekani wana nchi 50 zilizoungana ni kwa sababu ya Kiuchumi? aaah mnachosha nyie...Kifupi mnaonyesha jinsi msivyokuwa na uelewa wa Muungano ama tunabishana juu ya nini..ndio maana hamtulii na hoja mkibanwa huku mnarukia kwingine.Mwambie hivi, Russia ilikuwa nchi moja. Choko choko za kuisambaratisha zilichagizwa sana na uchumi. Perostroika.
Leo wanaanza kufikiria kurudi kwasababu za kiuchumi.
EU ipo kwasababu za kiuchumi, vinginevyo walikuwa na NATO siku nyingi.
BRICK imeundwa kwa nguvu za kicuhumi, si uzuri wa Zuma, Putin au mwingine.
EAC ya sasa inaundwa kiuchumi. Kilichoua ya 1967 ni siasa zaidi ya uchumi.
Wanaogopa kuzungumzia uchumi kwasababu utaua hoja zake. Imbalance and injustice is unjustifiable.