- Thread starter
- #221
Mchambuzi,
Kifupi mkuu wangu, Ushirikiano wa Kiuchumi unakuwepo tokana na kila nchi kuwa Huru, kila nchi ina sovereignty yake wakati tunachozungumzia hapa ni nchi washirika kuwa jamii moja (soveregn) na kiti chao UN kama Taifa. Nchi washiriki zinakuwa na semi sovereign na ndio maana Siasa lazima iwe chanzo cha ushirika huo kutokana na watu wake kuwa na historia ya Utamaduni wao (common in culture and so forth). Kiuchumi haihitaji historia ya watu bali ushirika kutokana na mahitaji (consume) ya watu wa pande mbili.