Series za kikorea

Series za kikorea

Huu ugonjwa n mbaya sanaaa

Ukianza kuangalia hiz unakesha bila kujua ,nashukuru nilitibu huu ugonjwa ila smtym nazikumbuka

Kwenye the greater queeen kuna kjn anaitwa BIDAM ,kaigiza na kwenye bad man pia..alikiwa na master wake muyyo sijui daah hawa watu balaaa

Ilijimae
Nazan zipo mbili ila kuna.moja yule dogo alilelewa na baba mwizi

Hv yule baba mwizi n mwiz kweli nn ..maana series kibao mwizi
Huyo dogo iljimae yupo kwenye nyingine inaitwa 2wks ..na pia yupo ktk move flan gun and swaodal..maisha yake.ya huruma ila anakuja kushinda na kuleta ladha tamu

Kuna move inaitwa Empress chu chu
Mule ndan kuna general jung
Jamaa kabla.hajafa alipigana na askali mia na.aliuwa wote,
General jung n mtata aisee, yupo moves flan nyingine nimesahau jina star n nchunchu..aliuwa wanajesh wote na.kabla hajaenda vitan aliuwa mke na wattt ila aconcentrate vizur ktk mapigano

Empress ki
Nayo.tamu sanaa

Kuna series flan yupo jamaa anaitwa sky lord na yule.baba wa daeso

Anyway ilistop haya mambo ila kuna series za wazungu pia sikumalizaga sijui zinaendelea

VIKING...hii series nikiipata naangalia hata nimestop niliishia pazur ep4

Revolution....nayo niliishia njian

THE WALKING DEAD....daah haya mambo.haya

NIKITA...

huyo jamaa anaitwa JUMUNGO naona.katoa series mpya.matara sana..sasa wadogo wanaangalia zimetafsiliwa.kiswahili,lijamaa linaongea kiswahili linaboa sanaa aisww

Hovyo hovyoo sijui wanaenjoy vip
 
Boanerge;The empress chun chun
King gwanggaetto
The mandate of heaven
Dae jo young
Three days
Jeon woo chi
The great seer
Warrior don soo
Hong dil dong
Tree with deep roots.
King Gwanggaetto ndiyo mpango mzima kuendeleza hapo nyingine inaitwa Jan gil sun
Jang gil san in subttles za kiingereza?..heb nipe link ya site yake yenye eng subtittles
 
Yaani mimi ni chizi wa hizo movie,hadi ndugu zangu wananiita mkorea manake naweza hadi kuongea kikorea kidogo,wakiongea naweza kutafsiri baadhi ya maneno...nyimbo zao sasa nzuri sana jamani wenzetu wako vizuri sana
Na hizi ni movie ambazo ninazikubali hadi hua nalia nikiziangalia....jumong,the heirs,boys before flowers,queen second,the royal princess,baek dong soo,city hunter...n.k
Check Dong yi ina wimbo mzuri kwny background yake umeimbwa na jang nara
 
Huu ugonjwa n mbaya sanaaa

Ukianza kuangalia hiz unakesha bila kujua ,nashukuru nilitibu huu ugonjwa ila smtym nazikumbuka

Kwenye the greater queeen kuna kjn anaitwa BIDAM ,kaigiza na kwenye bad man pia..alikiwa na master wake muyyo sijui daah hawa watu balaaa

Ilijimae
Nazan zipo mbili ila kuna.moja yule dogo alilelewa na baba mwizi

Hv yule baba mwizi n mwiz kweli nn ..maana series kibao mwizi
Huyo dogo iljimae yupo kwenye nyingine inaitwa 2wks ..na pia yupo ktk move flan gun and swaodal..maisha yake.ya huruma ila anakuja kushinda na kuleta ladha tamu

Kuna move inaitwa Empress chu chu
Mule ndan kuna general jung
Jamaa kabla.hajafa alipigana na askali mia na.aliuwa wote,
General jung n mtata aisee, yupo moves flan nyingine nimesahau jina star n nchunchu..aliuwa wanajesh wote na.kabla hajaenda vitan aliuwa mke na wattt ila aconcentrate vizur ktk mapigano

Empress ki
Nayo.tamu sanaa

Kuna series flan yupo jamaa anaitwa sky lord na yule.baba wa daeso

Anyway ilistop haya mambo ila kuna series za wazungu pia sikumalizaga sijui zinaendelea

VIKING...hii series nikiipata naangalia hata nimestop niliishia pazur ep4

Revolution....nayo niliishia njian

THE WALKING DEAD....daah haya mambo.haya

NIKITA...

huyo jamaa anaitwa JUMUNGO naona.katoa series mpya.matara sana..sasa wadogo wanaangalia zimetafsiliwa.kiswahili,lijamaa linaongea kiswahili linaboa sanaa aisww

Hovyo hovyoo sijui wanaenjoy vip
Inaitwa Iljimae:The phantom thief, ndio inamuelezea iljimae amekuwa adopted na baba mwizi baada ya baba yake kuuawa.

Aliye-act kama Genera Jung kwny empress cheonchu ameekt kama Gye baek kwny drama inayoitwa The king's dream
 
Mkuu!
Kwanza itafute Downloader inaitwa Dramas5 huko utakutana na series na movies za Kijapani, Kichina na Kikorea.

Usisahau kuleta mrejesho hapa jamvini!
naweza ku download kupitia web gani mkuu
 
Nenda google tafuta

Nkiri.com

Au

Kissiassian.li
 
Back
Top Bottom