Series (Special thread)

Hii sjaielewa mkuu inafanya vip kazi
 
Kwenye Prison Break scene za ushoga hazikua na maudhi kiivo. Mashoga walikuwepo just kufulfull certain mission as walikua jela, ila series za cku hzi ushoga wanalalana live...uchafu mtupu.

Kwa PB hakuna walipolalana, T Bag mhuni huni alimtumia yule shoga kupata chupi ya kumtrick askari and it was over...

Hizi nyingine wanaume wanakamuliwa haswa na inaoneshwa kama ni tabia njema na ya kuigwa.

Series ni projects zenye malengo mengi ya kimagharibi.

Shida yetu kwa jamii yetu tuna access rahisi na series/movies za kimagharibi, naamini tukipata access na za Turkey, Russia, Iran na kwingineko, huu upuuzi hatutauona.


Binafsi nikiona scene inaelekea kwenye huo ushetani, nasogeza mbele naendelea kula chuma, siachi movie! Ikiwa too much natupa huko napakua nyingine tu!
 
Kwenye Prison Break scene za ushoga hazikua na maudhi kiivo
Sasa wewe ulitaka mauzi gani? Prison Break ina zaidi ya miaka ishirini tangu itoke. Unahisi hii miaka ni midogo kwenye kuandaa mradi wenye malengo maalumu? Unahisi ililengwa jamii ya wakati huo au kuiandaa jamii inayokuja?
 
Hii sjaielewa mkuu inafanya vip kazi
unaunganishwa kupakua movie na sizoni kwa tani yako zazamani na mpya zinazotoka ndani ya muda uliolipia unadownload au kuangalia online.Unapolipia muda mwingi zaidi ndio unapata bei nafuu zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ