Series (Special thread)

Series za ulaya,marekani na sasa asia lazima utakuta element za ushoga.
Huu mradi ulianza kitambo tu! Prison Break kuna ushoga mule, mtasingizia gerezani kunaruhusiwa, kajaribu gereza la bongo uone adhabu zake.Yale maudhui yaliwekwa kwa lengo maalumu.

Hawa siyo mashoga kwenye prison Break?





Huyu siyo bahasha kwenye Prison Break?



Ukweli mchungu lakini lazima usemwe!
 
Jamaa wana haribu series sana na skuizi hadi kwenye movie nyingi sana kuna ushoga wa wanaume kwa wanaume au wnawake kwa wanawake dunia imeisha skuizi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…