Karibu sana Mkuu Rocky inaanza January sijajua tarehe, naisubiri kwa hamu kuu maana inaonekana itakuwa bomba. Pia ukipata nafasi itafute movie inaitwa Selma ya Oprah inasifiwa sana. Inaonyesha jinsi weusi US walivyonyanyaswa katika kuzidai haki zao mbali mbali haki ambazo pamoja na kuwa kuna ahueni lakini safari bado ni ndefu.