Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Nishaiona hiiKuna hii hapa pia kama unapenda comics View attachment 2720789
Kuna series The wheel of time umeiyona?Nishaiona hii
Sasa itafute THE WITCHER BLOOD ORIGIN ina episode 4 tuuh hii inaelezea hao jamii ya mawitcher wametokana na niniNajuta kuchelewa kuangalia The Witcher ila sijutii sana maana nimeweza kuangalia zote 3 mfululizo.... nasubiri muendelezo.
Unyama samSasa itafute THE WITCHER BLOOD ORIGIN ina episode 4 tuuh hii inaelezea hao jamii ya mawitcher wametokana na nini
Tafuta kipo vizurihicho chuma vipi ni kikali ili weekend hii nikitafute
Episode 4Sasa itafute THE WITCHER BLOOD ORIGIN ina episode 4 tuuh hii inaelezea hao jamii ya mawitcher wametokana na nini
Hua naiona ona tu sijui kwanini sijaiangalia, itabidi nitulie niicheki nayo, naona sifa zake nzuri.Kuna series The wheel of time umeiyona?
Walitaka waonyeshe tuu chanzo cha hao jamii ya witchres walipotokea , sababu hii series imekua adopted kutoka kwenye game la the witcher sasa wengi hawajalicheza hilo game hawaijui story vizuriEpisode 4kwanini wameifupisha hivyo?
Nitaitafuta hata hivyo trailer lake limenishawishi
Bado hujaangalia series wwSeries zangu kali mpaka sasa
Narcos
Narcos Mexico
Prison break
Breaking bad
Gangs of London
Ni adventure upanga wingi na uchawi kama "The lord of the ring" ila kwenye hiyo wheel of time kuna huyu mtu anauchawi mwingi sanaHua naiona ona tu sijui kwanini sijaiangalia, itabidi nitulie niicheki nayo, naona sifa zake nzuri.
Nzuri sana! naendelea nayoHii series bado ni mpyaView attachment 2720613
Mm hizi ndiyo vitu huwa napenda kuangaliaNzuri sana! naendelea nayo
Nipe list nizishushe mkuuBado hujaangalia series ww
Nipe list nizishushe mkuu
Actions onlyUnataka action au za sci-fi
Personal of interestActions only
Outer bank inatoka lini season inayo fuata? Zilizopo nimezimaliza na niliipenda sanaaPersonal of interest
Banshee
The punisher
Jack ryan
Nikita
Warrior
Fubar
Station 19
Moving
Outer banks
Hanna
Gangs of london
Wazee hiu special ops lioness kumbe episode ya 6 wameleta ushenzi kuna ushoga aisee