Hii snowfall ina movie yake?jina la movie?Ningejua nisingecheck muvi kwanza maana inanipa ukakasi wa kuishusha wakati maudhui ni kama ya kwenye movie tu
Ozark sijatizama bado, nikimalizana na hii ndio nitaianzaLeo namalizia Godfather of Harlem Season two naanza Snowfall.. I have a feeling itakuwa level za Ozark
Hivi oval zimeongezeka episode ngapi season 3 niliishia ya 4nakubaliana na wewe mkuu.... English yake ni rahisi mno kuielewa....The Oval naangalia bila substitle
Hii Series nilijikuta niko mbele mara nikarudi nyuma nikaachana nayo, imevurugika haswaHii series bwana kuna seasons zimevurugika unaweza poteza direction na usielewe mimi ilibidi zile episodes nizichanganye then nikawa na play moja moja naangalia inayoendelea baada ya pale nikawa na zi rename lkn pia sijapata hadi final.
Kuhusu subtitles nacho ni kipengele nyingi zinapishana na sauti so inabidi ujue kucheza na settings za VLC ya Pc. Mie ninayo baadhi zina subtitles baaadhi hazina.
Lakini series za Tyler Perry hazina English ngumu.
Ni jinsi mlivyodownload kwa kuchanganya ila inaenda kwenye mtiririko mzuri tuHii Series nilijikuta niko mbele mara nikarudi nyuma nikaachana nayo, imevurugika haswa
Ila ukiipanga zile episode unashuka nayo vizuri mkuu...Hii Series nilijikuta niko mbele mara nikarudi nyuma nikaachana nayo, imevurugika haswa
Na mie nisha kamata siti huko 😁🙏🏾🙏🏾🙏🏾Sikiliza mimi mwenyewe nilipata tabu sana huko torrents lakini tangu nilipata hili group Tyler Perry’s Series™ la telegram basi series zote za Tyler Perry nazipata huko so nakushauri tumia ilo group utanishukuru
Safi mkuu nenda kazishushe maana zimepangiliwa vizuriNa mie nisha kamata siti huko 😁
Nilishaachana nayo chief miaka mingi sana, niliiangalia chuo huko mtu tu alinipa, sasa hivi ninayo kwa mtiririko mzuri, inazunguka tu kwenye xternal sijapata mzuka nayo badoNi jinsi mlivyodownload kwa kuchanganya ila inaenda kwenye mtiririko mzuri tu
Ninayo tayari, sema toka wakati ule nilivoiacha naona itanilia muda tu maana visa vya mbele nilishaona na nyuma pia baadhiIla ukiipanga zile episode unashuka nayo vizuri mkuu...
Natafuta mwendelezo baada ya Kelly kuchezewa zengwe akaoneka kamuua Ramsey nini kiliendelea.
Poa poa mkuuNilishaachana nayo chief miaka mingi sana, niliiangalia chuo huko mtu tu alinipa, sasa hivi ninayo kwa mtiririko mzuri, inazunguka tu kwenye xternal sijapata mzuka nayo bado
Ni nzuri nayo?????Ndugu zangu Snowfall season ya 5 imetoka jana tarehe 23/2/2022 na hatuambiani? kweli mna usiri mkubwa
View attachment 2129256
Kwenye mtandao wameziachia leo mzeeNdugu zangu Snowfall season ya 5 imetoka jana tarehe 23/2/2022 na hatuambiani? kweli mna usiri mkubwa
View attachment 2129256
Hii naenda nayo hivyo hivyo ongoing, siwezi isubiri hadi ikamilikeHa ha ha kiukweli nimefurahi sana hii chuma kuna release
View attachment 2129393
YeahNi nzuri nayo?????
Kwenye Torrents wanachelewa sana nowdays bt Telegram uliwekwa tangu janaKwenye mtandao wameziachia leo mzee
Zote watu walizitaja huko nyuma labda hukupitia izo comments huko nyumaSijaona member yeyote aki-recommend hizi series mbili 1883 na cleaning lady, nazirecommend mimi, zitafute hautajutia mb zako.
1883 ni season 1 ina episode 9 hadi sasa, imebase kwenye story ya familia ya jamaa mmoja anaitwa James Dutton (Tim McGraw) walivyokua safarini kutoka Texas kuelekea Montana (Kama utakua umeangalia Yellowstone basi hii 1883 ndio mwanzo au chimbuko la Yellowstone Ranch)
Cleaning lady ni story inayomhusu dada ambae ni migrant kutoka Philipines (Tonny De la Rossa), professionally ni daktari ila aliingia USA kwa minajili ya kupata pesa na matibabu mazuri ya mtoto wake ambaye ni mgonjwa sana, akiwa katika kazi zake za usafi alijikuta anaingia kwenye genge la wahalifu bila kujijua. Hii naweza kuifananisha kwa mbali na Queen of the south japokua sijui mbele itakuaje, ipo season 1 ina episode 6 hadi sasa.