Series (Special thread)

Mishe za umafia, siasa chafu, usaliti, ugaidi nazikubali sana mzee like Homeland.
 
Shida Ina epsode 3 tu na iko season one pekee
 
Treadstone ni balaa

The Treadstone project, having created super spy Jason Bourne, turns its attention on a new protocol to develop unstoppable superhuman assassins.
 
Muulize anapenda series zenye genres za aina gani? Ndio umsaidie
Mimi nimpenzi wa series zenye fantasy sana plus horror ...pia za vita za kizamani za mapanga...

Mfano

Once upon a time
Supernatural
The walking dead
The last Kingdom
GOT
Vikings

Kama unafahamu series yeny genre inayofanana na series yoyote hapo, nisaidie majina nizishushe
 
Basi the blacklist haikufai maana izo zote nimeziona kasoro once upon a tym
 
Daa hii Homeland ni bonge moja la series, hvi ambayo unaona inafanana na hiii kimaudhui ni zipi mkuu.
Mhhh! Kuna watu wa aina 3 bro wanaotizama movies au series:
1:Kuna wale ambayo wanaangalia series na movies zote kwa kuangalia story ya iyo movies au series.

2:Kuna wale wameangalia series ambayo wao wanaiona bora then wanaziponda series zingine kwa kuziona mbaya kwasababu anaamini series yake bora aliyoiona ni kali kuliko zingine.

3:Kuna wale wafata matukio kwenye series au movies hasa hasa ngumi, mapanga au kukimbizana kama series haina scenes izo basi utasikia imepoa.

So wewe angalia genres ya homeland then angalia series inayofanana na izo, angalia trailers na omba ushauri humu au hata washkaji zako watakwambia ipoje maana hata iyo homeland humu ndani watu wameiponda kichizi
 
Hujaangalia The blacklist mzee maana reddington anakutana na wajuaji zaidi yake na wanamuendesha balaa na kitu kingine reddington hajui kila kitu bali ana connections nyingi
Nimeangalia zaidi ya 19 - episodes nachokiongea nakijua.
 
kweli mkuu umefafanua vzr.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…