Hii ep ya 10 imeniacha na maswali sana, Gost amefariki?
Hope iwe hivyo,,maana jamaa kaitendea haki sana,, sema ndio hvyo inaenda break hadi januaryHawezi kufaa ghost aliandamwa sana na matatizo kushutiwa kwakenahisi ndio itakuwa njia ya kumsafisha zaidi yana baada ya hapo atatoka akiwa clean sanaa
Jaman na tommy je kafaHope iwe hivyo,,maana jamaa kaitendea haki sana,, sema ndio hvyo inaenda break hadi january
Bado mzimaJaman na tommy je kafa
Jaman na tommy je kafa
Dah hi inaonekana Kali sana mi niliangalia how I met your mother mpaka ikanishawishi niangalie comedy series zengine nakumbuka nikachek everybody hates Chris da kitambo ...nikipata muda wa kutulia ngoja nichek na hii vipi iko poa!?
Hii post inaonesha kama vile jamaa kaaga hatarudi kwne episode za mwshoHope iwe hivyo,,maana jamaa kaitendea haki sana,, sema ndio hvyo inaenda break hadi january
Aise, kwa maelezo haya inaonekana jamaa kavuta,, too badHii post inaonesha kama vile jamaa kaaga hatarudi kwne episode za mwshoView attachment 1254087
Yap ni kali ila naamini zipo zengine kali ila Itakuwa unazikubali black American moviesNimetafuta comedy kali ambayo inaizidi everybody hates chris sijapata!!! Hio HIMYM nimecheck pia ila EHC zijaona wakumzidi!
Yap ni kali ila naamini zipo zengine kali ila Itakuwa unazikubali black American movies
Twendeni sasa na See imetoka tarehe 01/11/2019 ina ep 3
Nmeichek niyamoto sana aiseeTwendeni sasa na See imetoka tarehe 01/11/2019 ina ep 3
Hahaha kama wataweza kutengeza script basi itapendeza zaiidi.Dah natafuta sana series ya D B Cooper
Sure, nashangaa hata movie ya kueleweka hamna, wakati ilikua hijack kubwaHahaha kama wataweza kutengeza script basi itapendeza zaiidi.
Mama a nimetoka kuangalia hiyo The oval ni kichefuchefu unaweza ushindwe kumaliza kuangalia. Utasema bongo movie.Wale wanapenda drama za Tyler perry kuna hizi
Sistas
The Oval
Zina story nzuri
Pia kuna za kiintelegensia
Treadstone
Stumptown
Mama a nimetoka kuangalia hiyo The oval ni kichefuchefu unaweza ushindwe kumaliza kuangalia. Utasema bongo movie.
Na hiyo sistas na uhakika na yenyewe ni mbaya
ni season ya ngapi na wahusika ni walewale ?Wazee wa breaking bad....muvi ya El Camino: The Breaking Bad movie imetoka....ni mwendelezp wa series ilpoishia
Wahusika wamezeeka....Todd ndo kabsa hadi kitambini season ya ngapi na wahusika ni walewale ?
Sistax angalau lkn mbovuuuAsante ila hiyo avatar..