Ndio maana wenye roho ngumu tunaangalia GOT-Game of Thrones, hii haina mmiliki, kila mtu yupo n death line!Hapo tupo sawa... niliishia season ya 4 ..nikitarajia labda itabadirika... jamaa serikali yeye inamhitaji, majambenga yupo sasa unaangalia nini ,...
kwani wametoa season 2.... ina muda mrefu sanaaaaa
imeoka mpya kwani... naona mateasser tu .... thrones nimeangalia mwaaa mwiiii.... mpaka nihtwalkers wanachukua dragon mmojaNdio maana wenye roho ngumu tunaangalia GOT-Game of Thrones, hii haina mmiliki, kila mtu yupo n death line!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel mkuu, nimeipakua naona haina tofauti na terrarium kabisa, shukran sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kasearch googleUnapukuaje hii mzee.. mm nashindwa asee
Kama unapakua through playstore haipo, tumia Google.Unapukuaje hii mzee.. mm nashindwa asee
Tatizo wamerekani hawana jipya kwenye series za ki-FBI na CIA, sema hii series imekaa kicomedy, ina ladha yake pia... Binafsi naikubali...Whiskey cavalier hamna kitu
14 april ndo inaanza.imeoka mpya kwani... naona mateasser tu .... thrones nimeangalia mwaaa mwiiii.... mpaka nihtwalkers wanachukua dragon mmoja
Ninayo season 1, nakerwa na mzee mmoja anapenda sana mashoga
Mimi bado sjaelewa mkuu ..em nipe kwa ufupi kidogo muktasari mkuu.Enemy within inakuja vizuri nimechek episode ya kwanza imenivutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nilikuwa nawait sana hii arakati ..maana ipo ep moja tu adi leo..Kwa wale mliokuwa mnasubiri "Hanna" nimeona matangazo...
Imetoka season 1 yote
Hope itakuwa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametoa season nzimaDah nilikuwa nawait sana hii arakati ..maana ipo ep moja tu adi leo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna way ya kuingia direct moja kwa moja? Kila mara nikiingia lazima kwanza nikutane na "verify yor not robot" mapicha picha flan yanakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko poa mzee baba, shukran sana.MoviesWeb - Download Latest Movies and TV Shows | index of
Download latest Hollywood/Bollywood movies and TV Series in 480p, 720p and 1080p mkv Quality for free in high speed.www.moviesweb.info
chimbo jingine hilo halina longolongo za kuverify
Sent using Jamii Forums mobile app