nimeicheki iko poa sana
pia Whiskey Cavalier naona Cpt Jake ballard(Jina from Scandal series) amekuja na ukomedy kiasi wakiwa serious itakua nzuri
Series nyingine moto wa kuotea mbali ni Hanna. Episode moja tu naona wameenda pause mpaka tar 29 wanaachia episodes zote zilizobaki. Huu mtindo naupenda sana kwakua sipendi kusubiri. Ukishusha episodes nyingi unapiga marathon mpaka zinadead