Kwa wale wapenzi wa series tata...kama the event, siren au lost ....kind of mystery hiv.....chek kuna kitu kinaitwa The manifest. Ni kipya na kimeanza vizur...

Hii series bhana haina challenge za maana na za kibabe kama zile za 24 yaani staring kila kitu kinachotokea anatatua, anatakia akutane na wababe wambonyeze..