Series (Special thread)

Mimi season 1 nilipata yenye kiingereza ila season 2 ndio nimeangalia ya spanish kwa msaada wa subtitles, kama ukiihitaji hyo season 1 naweza kukutaftia link nikuwekee hapa.
Naomba kujua napataje subtitle?Hata kama ni ya kiingereza ila nasoma na maandishi yake.
Msaada tafadhali na kwa wadau wengine like Maserati Darvon and others
 
Asante kwa elimu hii, sasa swali langu je nawezaje download moja kwa moja kwa kupata na subtitle?Nimetumia njia uloitoa hapa nimeweza kupata subtitle kwa hakika ni somo zuri.
Any way nasubiri ujuzi mwingine
 
The crossing iko vizurii...nilitaka achana nayo nilipoangalia season 1...ila season 2 na 3..ni motoo. Pia kuna Deep State nayo imeanza vizurii
Episodes not season,maana ndo kwanza ipo season One
 
Naomba kujua napataje subtitle?Hata kama ni ya kiingereza ila nasoma na maandishi yake.
Msaada tafadhali na kwa wadau wengine like Maserati Darvon and others
Kwanza tumia app ya MX player,pale pana option ya subtitles upande wa juu kulia,utaingiza jina la movie au series na episode yake then unadownload
 
Kwanza tumia app ya MX player,pale pana option ya subtitles upande wa juu kulia,utaingiza jina la movie au series na episode yake then unadownload
Hiyo App naweza kuinstall kwa PC?
 
Naomba kujua napataje subtitle?Hata kama ni ya kiingereza ila nasoma na maandishi yake.
Msaada tafadhali na kwa wadau wengine like Maserati Darvon and others
Kama unatumia PC unaweza kudownload subtitles kwa kusearch hata google, mfano; ' Blindspot S03E11 subtitle' then unachagua link unadownload kama file ulodownload lipo compressed liextract then ukiweka kwenye folder moja na hyo series unayotaka kuangalia halafu play , ukitumia vlc subtitless zitajiunganisha moja kwa moja..

Au unaweza download software inaitwa sublight then fata maelekezo yake kujisajiri ikishafunguka utaona sehemu ya 'kudrag & drop video file ' kisha yenyewe itasearch automatically halafu chagua link mojawapo, download ikimaliza nenda kafungue file lako then play
 
Reactions: SDG
Asante,nahis vlc yangu ni old version kwa sababu nikitaka subtitle haiji automatic
 
Hivi kuna mtu anafuatilia young sheldon? Haka ka dogo ni ka jiniasi aisee
Mkuu ulishacheki The big bang theory? Mimi niliangalia seasons kama tatu hivi ikanishinda. Ni comedy nzuri lakini sasa kuna "too much science" mpaka inafikia point unashindwa ku-catch the joke kama haupo vizuri kwenye physics
.

Sasa yule professor Sheldon wa big bang theory ndo huyo wa young Sheldon wakati akiwa mdogo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…