Series (Special thread)

Session 4 First Episode

Tom Chandler sijawahi kumuona akitabasamu hivi

Kumbe huyu choko anachekaga pia...He is a Great Actor-LastShip



 
Naangalia Marvels Agent of Shield season 4 imeniboa sana kuanzia Episode ya 11 - 16 sijui kama nitaimaliza wakiendelea na Haya marobot yao
 


Blindspot inaanza kuboa hawa kila saa wanalia mapenzi tu...hii idea ya kuona weller na jane wala haikuwa nzuri
 
Wakuu nani ameiangalia animal kingdom? Nimeona trailer imenivutia, aliyeiona aniambie kama ndani ipo vizuri au inazingua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…