Sasa kama hupendi scene za minjunjano power haikufahi nduguEmpire ni nzr sana naikubal lakn GOT nina ep1 tu lakn sene za xxx zlkuw znankera sana, p
Powe pia ni nzr bt ngoja nijarb izo zngne ulzonidokeza
Ya kwenye powe ni tam kidogo ila ya GOT mpaka naona kinyaaSasa kama hupendi scene za minjunjano power haikufahi ndugu
Ya kwenye powe ni tam kidogo ila ya GOT mpaka naona kinyaa
Mm nina episode moja tuu na yenyew sikuimalizasijawahi hata itazama sababu ya genre yake..
Hongera,hata moja sijajaribu na sihitaji hata kujaribuMm nina episode moja tuu na yenyew sikuimaliza
Ni hatari humo Mie ndiyo namalizia ya nne.Black Sails ni shida ... nipo season 3
Huu mzigo nausibiri kwa hamu zoteSoon
Kwa wale wapenzi wa comedy kuna hii series mpya imeanza jana inaitwa L.A to Vegas
Everybody hates Chris ilinichekesha sana.inaonyeshwa channel gan Boss
mpaka sasa sijapata comedy series nzuri zaidi ya "everbody hates chriss" na "silicon valley" nipe list kama unazo nyingine
Foxinaonyeshwa channel gan Boss
mpaka sasa sijapata comedy series nzuri zaidi ya "everbody hates chriss" na "silicon valley" nipe list kama unazo nyingine
Everybody hates Chris ilinichekesha sana.
Sijawahi Hiyo wala Hiyo nyingine. Na sitaki kuitazama.Maserati haujaangalia GOT KWELI (namaanisha game of throne) acha ile got nyingine
nzuri sana na "mind your language" kama unaifahamu...
My all time comedy,na kale kajimbo chao...Everybody hates Chris ilinichekesha sana.
Hahaaa hatariDaah hapa pagumu maana zipo nyingi kinoma, ila the 100 nahisi itashika namba moja na last ship pia na power na nyingine nyingine.. Aaarrgh bana zote kali mi sijui ipi kali zaidi.