Mtoto wa Harris Ndio yuko behind kutoa taarifa kwa Amanda,Zoe na mtoto wa Harris watakuja kudate wale.Daah hii bado sjaicheki nmeishia wako Moscow wanatafuta namna ya kusepa ...daah!! Ngoja niicheki aisee!!
Afu vip kuhusu Zui barrows ..naona alimtumia dogo (mtoto wa Harris) friend..halafu nahisi dogo tu alimtumia yule repoter wa kike zile za picha znazonyesha project ATLAS zikiwa na brand name ya TANZ
Daah kitu kinazidi kunoga aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudi aisee. Maana Naona jukwaa la siasa linaniletea ban tu
Terrarium washaiweka ep03
Nyie ndo mmenigusa ila ongezeni na true blood, being human (USA), the unit, strick back tuwe pamojaMkuu wewe ndo unaendana some interests na mimi kwny ii issue ya series...umesahau na hizi ( a must watch)
Game of thrones (g.o.t)
The Originals
Rome
The crusades
Dracula...
Kwa haraka haraka nazikumbuka izo mkuu
Jombaa iangalie yote, game of thrones ndo [HASHTAG]#one[/HASHTAG] series on planet earth right now, na heart breaking pia coz ukidevelop love na character anakufa. G.o.t habari nyingineHiyo game of thrones wengi wanasifu ila niliangalia pale mwanzoni tu nikaona itaniboa tu
The unit kitambo sana aiseeeNyie ndo mmenigusa ila ongezeni na true blood, being human (USA), the unit, strick back tuwe pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Salvation ni SciFi lakini nimeipenda story yake,niemipenda sana sana Yaani.ukianza msalimie mzee wa mipango TanzKarib sana, nilikua nipo busy na kitu cha Zoo ss nakimaliza muda huu halaf pemben napakua salvation yte halaf nitaipakua na hyo ep 3 ya last ship.... Week end murua kbsa hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo Liam hahaha ..dogo ana wenge sana, ila yule manz ake sjamwelewa kabisa anii...Salvation ni SciFi lakini nimeipenda story yake,niemipenda sana sana Yaani.ukianza msalimie mzee wa mipango Tanz
Tabid leo nifanye namna isee.. yule reporter anajicho zuri sanaMtoto wa Harris Ndio yuko behind kutoa taarifa kwa Amanda,Zoe na mtoto wa Harris watakuja kudate wale.
Washatoka Moscow,white house imetuma mtu amuue grace na Darius..
Mkuu torrent unatumiaje kune simNaijua sana Terrerium kuna showbox lakini Torrent ni Top downloader unaweza kutumia kwa Pc na Cm tofauti hiyo Terrerium ambayo unatumia Cm pekee.
Ndio mkuu Torrent inapiga kazi hadi kwenye simu
yaa nimeangalia eps 1 tu iko vizur ngoja nishushe zingine ...
Iko poa... I like supernatural stories...yaa nimeangalia eps 1 tu iko vizur ngoja nishushe zingine ...
Amandaaa
Sure,Liam amefit the character Jilian kama kazingua hivi.Dogo Liam hahaha ..dogo ana wenge sana, ila yule manz ake sjamwelewa kabisa anii...
Dogo katisha amechukua uhusika kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app