Kuna watu wamesema ni nzuri, lakini mimi sijaipenda kwa kweli. Movie zenye uongo mwingi usio wa kufikirika siuhitaji kabisa...
Mimi sijaipenda na nimeishia episode 1 tu.
Lakini kuna balques huko anameza watu kwenye papuchi yake, take care
Ukipata time icheki tena.. Me mwenyewe nilianza kwa kususua cz jamaa alikua peke yake alikua anazingua.. Ila kuanzia episode ya 2 au 3 idadi yao inaanza kuogezeka na hapo ndo inanoga.
Trust me u will enjoy.. Inafurahisha sanaaaaa especially if you are a good listener.

Mwenzio nampenda seth wright wa kwa designated survivor
I'm inkove with seth espy
The last ship nakapenda ka Miller, katoto ka mama. Eti walivyorudishwa kutoka kwa takehaya kamefika kwa nathan james si kakaanza kulia