Sio mbaya ingawa upiganaji mwengine kama wanazidisha mbwembwe kama in reality ngumi za vile haiwezekani.ila kama unapenda series as kupigana.wako vizuri.sio wanawake wala wanaume.yule mama ambae ana group lake ( jina lake nimelisahau) yupo vizuri kwenye mapigano.ukiingia youtube wanaonyesha jinsi wanavyofanya mazoezi