Series (Special thread)

Aaghaa. Lost sikushauri kwakweli. Mafuta blindspot,blacklist,Quantico,the arrangement,scorpion,the homeland,APB
Hapo sijaangalia arrangement tu bas,,halaf quantico kumbe season two nliona kam wanazingua maaan mara mafunzon mara uhalisia sikuoenda ile na ndio maana nikaacha kuicheki,,,ila blacklist kuanzia season 2 aaaah balaa sana,,,na homeland cjaichek kbsa naona km ya zaman sana
 
Quantico season 2 ipo kma season 1 tu. Ina flashback nyingi. Homeland sio ya nchi hii mkuu,the arrangements ndio imeanza iko season 1 haijafika Hata episode 5
 
Quantico season 2 ipo kma season 1 tu. Ina flashback nyingi. Homeland sio ya nchi hii mkuu,the arrangements ndio imeanza iko season 1 haijafika Hata episode 5
Arrangement inahusu nn,,,maana movie ambayo haina ujasusi na high tecnology kiukwel naukua sizipendi sana,,,napenda series zenye majumba makali,magar makali,upelelez,,watu wenye double standands,,aaaah kama designated vile au nikita,blacklist yaan hvyo yaan
 
We kaichek Hata episode moja
 
Ni kweli mkuu hii app ni nzuri sana ...kwanza ina class zote HD, HQ, 360p na nyinginezoo ..daah umetisha sana brazaa ....apa napata kitu roho inapenda ....
nomaaa sanaaaaaa
 
Series ninazo zifuatilia kwa sasa ni;
Six
Training day
24 legacy
Designated survivor
The blacklist redemption
Scandal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…