Joe Unruly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 203
- 187
Iko season 1 mkuu wamejtahid lakn.. Ya pili aijatoka bdoHiyoo Queen of the South nmechek e1 haikunivutia labda kama mbele iko poa
The eleventh episode of the season is scheduled to air on March 8, 2017Designated survivor e11 imeshatoka?
wakuu napenda series aina za Davinc demons.spartacus,Game of throne,vikings! kama anazijua za aina hii naomba mnipendekezeeZilizotoka 2016
Designated survivor
Shooter
Queen of the south
Zinazoendelea
Into the badlands
Blind spot
The 100
Blacklist
The last ship
Tafta hii south of hell iko poa sana hutojuta na kuna mengi ya kujifunza apa maana ni uchwi mtupuNaombeni sirizi nzuri ya kichawi chawi mithili ya merlin wakuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Asante mkuuTafta hii south of hell iko poa sana hutojuta na kuna mengi ya kujifunza apa maana ni uchwi mtupu
Hahahaha..zero kabisa we mwananguDuuh hatari hivi wewe si unaweza kupofuka mkuu..???
kuna "Salem " pia ni ya kichawi hii ni balaa maana saiv iko season 3 kama sikoseiTafta hii south of hell iko poa sana hutojuta na kuna mengi ya kujifunza apa maana ni uchwi mtupu
usijal mkuu pia kuna "salem "itafte nayo ni nzuri maana ni uchawi tupu ila usiwe mvivu maana iko season 3 saiv ila hutojutiaAsante mkuu
Tafuta the last king mkuu nayo iko vizuri au Reign ila kwangu last ni kiboko maana ilivyo kama vikingwakuu napenda series aina za Davinc demons.spartacus,Game of throne,vikings! kama anazijua za aina hii naomba mnipendekezee
Sinbad,wakuu napenda series aina za Davinc demons.spartacus,Game of throne,vikings! kama anazijua za aina hii naomba mnipendekezee
mmmh hayahiyo nayo ni serious au. ..??Hahahaha..zero kabisa we mwanangu
Ingia hapa (o2tvseries.com)Bado
Hizo siachek hata moja.Mm naangalia series nyingi mpk najistukia....hivi kuna mtu anaangalia series za chicago...chicagi pd,chicago fire,chicago med na sasa imekuja chicago law