Nikifikiria jinsi bond ya Jack Bauer na Chloe O'Brian ilivyokua naishia kumpa producer ,script writer wa 24 heshima ,kiufupi ndio favorite characters wangu ndani ya 24 ikiwa pamoja na yule jamaa top wa security white house Alan ,mpole mwenye hekima na busara ,baadae alikuja kumwoa Martha aliyekua mke wa Charles Logan