episode ya tatu inatoka tarehe 26. nahs ndo iyo kesho.. hizo episode mbili ulizoziona ilitakiwa zitoke tarehe 19. kama ulizipata kabla ya iyo tarehe basi itakuwa ni yale yale yaliotokea kwene GOT mwaka jana..

sijapenda story yake.. tafuta "the night of " imetoka jana.. jamaa kaamka kakuta demu alielala nae kachomwa chomwa visu kama mia mwilini.. japokuwa kuna sehemu inalag...iko promising