Download u torrent kisha ukiingia kwenye hiyo website chagua series unayo ipenda then click sehemu iliyo andikwa magnet.File litakua downloaded automatically.
HIYO SERIES INAUZURI GANI NAONA MADADA WENGI WANAISIFIA SANA
True haijanisisimua sana kama s04 na s05 au kwa kuwa imetoka tofauti na story halisi ya kitabu yaan haijanibamba kabisa
ngoja tusikilizie hizi ep zilizobakia ngoja nipakue ep08 sijaicheck bado
Upo wap mkuu nikutembelee?
Hii GOT imepooza sana kwa kweli
Hilo ni kweli. Mfano ishu ya arya ndio imeonekana Kali etiii
Hawezi kuwa king ila atakua nobleman maana yule ni kma jimmy lanister ni watu wa combat tu.Na yule jamaa aliyechomwa kisu na Arya kasurvive ili iweje! Huchelewi kuona amekuwa king
Poa mkuu mie nipo darMwanza
kwene GOT usipoona maiti ya mtu..ujie yuko hai.. atarudi mbeleni.. mfano ni mjomba ake dogo brian.. karudi s06 kumwokoa dogo toka kwa ma whitewalkerNa yule jamaa aliyechomwa kisu na Arya kasurvive ili iweje! Huchelewi kuona amekuwa king
nipo magomeniIangalie ndo utajua uzuri wake upo wapi
Pakua hapaNatafuta sana series za kikorea aisee
kwene GOT usipoona maiti ya mtu..ujie yuko hai.. atarudi mbeleni.. mfano ni mjomba ake dogo brian.. karudi s06 kumwokoa dogo toka kwa ma whitewalker